Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo wananchi wa Mwibala wanampenda mtu mwizi na fisadi!
Huu uzi haueleweki, nafikiri Mods wameungaunga sana nyuzi za watu bila kufanya uhariri wa kutosha. Hata title haiendani na contents humu.
Anyways, suppose Lugola sio waziri tena, vipi? Yale mashati yake yenye bendera ataendelea kuyavaa? Political pundits kazi kwenu.
Halafu kufanya matumizi ya fedha za umma bila bunge kupitisha ni tatizo? Mbona tunaambiwa hata manunuzi ya ndege kwa cash na mengineyo kama yale manunuzi ya wabunge wa upinzani hayakupitishwa na bunge.
Watanzania tuache unafiki. Hakuna lolote hapa la kusifiwa.
Hahahahaaa ila ubhebhe mwanikeLugola pamoja na kumsifia Rais leo kafukuzwa hadharani.Ningekuwa Lugola ningeaga nakwenda kuko joa na nasepa mbele kwa mbele.
Yule naona kama ataunganishwa kwenye barua ya msigwa akipona hapo baas anatoboa
Tatizo ni mupe murukeYaani lugola anaidhinisha allowance ya dola 800 per day kwenye vikao vya kupitisha huo mradi, kumbe ndiyo maana alikuwa tayari kucheza ngoma mbele ya rais ili amfurahishe na kuficha madhambi yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau tulipokuwa watoto...ukitandikwa bakora,unaambiwa usilie,halafu unaambiwa ushukuru...Asante baba/mamaLugola pamoja na kumsifia Rais leo kafukuzwa hadharani.Ningekuwa Lugola ningeaga nakwenda kuko joa na nasepa mbele kwa mbele.
Kama amekosa mke akiwa waziri atampata tu sasa hivi yuko free. Gongolamboto wamejaa tele.Daah! Maskini mzee lugola sasa angekuwa na mke angemliwaza angalau