Usihofu kijana wangu, tuko hapa tunamsubiri kwa hamu. Atakuja awasimulie kitakachompata!Polisi walupo watafanya sherehe, aliwanyanyasa sana ma RPC, RTO NK
Sent using Jamii Forums mobile app
Usikute hata hakujiuzulu Ila yeye ndio katamka kwamba amejiuzulu, anawaogopa sana mapolisi kama kina andengenye anawatumbua tu.Rais anawaogopa majenerali wa majeshi jwtz mbona huyo katibu mkuu kamtumbua kwa unyenyekevu?
Nipo mme. Ulitaka nisiwepo my love ?Kumbe upo!
Exactly.Kwani yeye nani alipitisha ununuzi wa ndege?? /na yeye aachie ngazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona upo kimya wakati huku unajimwaga sana. Ndiyo nini kutesana?Nipo mme. Ulitaka nisiwepo my love ?
Yule aliyemchongea Kabendera😙😚😗Haya jamani,nani unaona atafaa kuwa waziri wa mambo ya ndani?
We all deserve coffee in a styrofoam cup not in a ceramic cup. That's where we belongTukanyage kwa adabu ardhi ya Muumba.Cheo ni dhamana. Karibu mtaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha vitisho dogo. Lila mtu yupo entitled kwa mawazo yake. Hata walamba mguu ni haki yao kufanya hivyo walipenda.Mdomo uliponza kichwa