Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

Rais anawaogopa majenerali wa majeshi jwtz mbona huyo katibu mkuu kamtumbua kwa unyenyekevu?
Usikute hata hakujiuzulu Ila yeye ndio katamka kwamba amejiuzulu, anawaogopa sana mapolisi kama kina andengenye anawatumbua tu.
 
Iyo wizara hata aje nani kama Jiwe hatoacha kuingilia majukumu ya mawaziri ni kupoteza muda tu jiwe anatakiwa kuondoka kwanza yeye sio kila siku kujifanya analila lia kumbe ana ajenda zake tu.

hakuna jipya ataweka tu mtu wake wa kumsaidia kuchezea uchaguzi ujao.
 
Utasikia anasema narudi jimboni kuwatumikia watu wangu wa mwibara...sijui kila siku alikuwa hawatumikii?????
Malipo ni hapa hapa duniani
 
Back
Top Bottom