Majan
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 1,271
- 1,828
"General never wrong"Rais anawaogopa majenerali wa majeshi jwtz mbona huyo katibu mkuu kamtumbua kwa unyenyekevu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"General never wrong"Rais anawaogopa majenerali wa majeshi jwtz mbona huyo katibu mkuu kamtumbua kwa unyenyekevu?
Waathirika wa hilo zuio ni wachache sana; tupambanie Taifa letu mazao yavunwe kwa wingi, ajira ziongezeke, magonjwa yakae mbali nasi; anayeumuzwa na kusudio la Wamarekani ni yule asiyedhamini chake.Jana kuna taarifa ambayo haioendezi kuisikiliza lakini yaweza kuwa kweli ya kwamba Tanzania inaweza kuwa moja ya nchi ambazo raia wake watazuiwa kuingia Marekani.
Naamini hili linaweza kuwa jambo kubwa kama litatimia.Kinachonisikitisha kwa sasa watu wamehamia kwenye issue ya Kangi na kuacha jambo la wengi.
Ni vyema tuendelee kutafakali
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana kuna taarifa ambayo haipendezi kuisikiliza lakini yaweza kuwa kweli ya kwamba Tanzania inaweza kuwa moja ya nchi ambazo raia wake watazuiwa kuingia Marekani.
Naamini hili linaweza kuwa jambo kubwa kama litatimia.Kinachonisikitisha kwa sasa watu wamehamia kwenye issue ya Kangi na kuacha jambo la wengi.
Ni vyema tuendelee kutafakali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kujifanya kujua sana matokeo yake unaandika upuuzi. Subiri kwanza tamko litoke rasmi ndio uje hapa uandike hivyo. Sasa USA wamesema huenda wakajumlisha nchi zingene 6 wewe ushaanza kuwashwa washwaJana kuna taarifa ambayo haipendezi kuisikiliza lakini yaweza kuwa kweli ya kwamba Tanzania inaweza kuwa moja ya nchi ambazo raia wake watazuiwa kuingia Marekani.
Naamini hili linaweza kuwa jambo kubwa kama litatimia.Kinachonisikitisha kwa sasa watu wamehamia kwenye issue ya Kangi na kuacha jambo la wengi.
Ni vyema tuendelee kutafakali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamishina wa magereza sio Andengenye, acha kupotosha,Kwa ile lugha ya raisi wa wa Tanzania aliyokuwa anaitumia wa waziri wa mambo ya ndani na kamishina wa jeshi la magereza Mr. Andengenye bila wasiwasi wowote wale jamaa weishakanyaga nyaya za tanesco.
Ikiwa ni kweli hayo yaweza kuwa manyunyu mvua bado, ni wazo language tu maana na kwingineko Duniani walianza hivi.Waathirika wa hilo zuio ni wachache sana; tupambanie Taifa letu mazao yavunwe kwa wingi, ajira ziongezeke, magonjwa yakae mbali nasi; anayeumuzwa na kusudio la Wamarekani ni yule asiyedhamini chake.
Endapa Wamarekani watakatazwa kuja Tanzania, hapo kuna kila sababu ya kujifikirisha maana utalii na sekta nyingine zitaathirika.
Hivi ana familia?
Akusikie! Atakuporomoshea matusi kama maji ya mafuriko ya Jangwani! Maana CCM nzima tunamtegemea Kibajaji kwa matusi kutukana Vyama vya upinzani.Huu utani sasa, mtu hata hajijui
Binafsi nmepokea kwa huzuni Sana taarifa ya kujihudhuru uwaziri wa mambo ya ndani.
Alitatua mengi Sana kwa upande wa mwanachi wa kawaida.mfano
~Suala la kupewa dhamana polisi bila kutoa pesa
~masuala ya kufukuzana barabarani kati ya bodaboda na mapolisi iliisha
~Nidhamu ya polisi iliimarika sana
Na kuvaa bendera. Hata Mwigulu alitumbuliwa licha ya miskafu yake ya bendera. Gundu ni gundu tu.Lugola inamuuma kweli yani kwa kutimuliwa. Mana si kwa Mauno yale aliyokuwa anayaonyesha mbele ya jukwaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa. Endelea.Acha vitisho dogo. Lila mtu yupo entitled kwa mawazo yake. Hata walamba mguu ni haki yao kufanya hivyo walipenda.