Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

Hivi kwanini MASAUNI haaminiwi kupewa hiyo wizara kama waziri kamili ?
Kama hatoshi ni kwanini haondolewi kwenye unaibu maana huyu ni bosi wake wa tatu au wa nne kuondolewa lakini yeye yupo tu.
Kwenye masakata yote hayo yeye hajawahi kuhusika tu ?
Kama hajawahi kuhusika hicho sio kigezo cha kupewa uwaziri kamili ?
Nawaza tu.
Mtu wa system huyo na yeye ni kirusi hapo wizarani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NJOLO,
Mwalimu Nyerere alibeba watu wake sana, kama ulikuwa wake alikuruka na kutumbua wengine, ila Magufuli ni noma aisee, Duh!
 
Ni kweli tupu mkuu! Mfano Tobias Andengenye nimesoma naye ni mtu mwadilifu sana kiasi kwamba Schoolmates zake wote tulikuwa tunajivunia hatua aliyokuwa nayo kwa kusema anaistahili kwa sababu ya uadirifu wake. Lakini ghafla anazalilishwana Mteuzi na Mtenguaji.

Kwa hiyo kwa kuwa ulisoma naye wewe ndo ulitaka tumruhusu afanye anavyotaka?
 
Mmesoma naye wapi mzee?
Ni kweli tupu mkuu! Mfano Tobias Andengenye nimesoma naye ni mtu mwadilifu sana kiasi kwamba Schoolmates zake wote tulikuwa tunajivunia hatua aliyokuwa nayo kwa kusema anaistahili kwa sababu ya uadirifu wake. Lakini ghafla anazalilishwana Mteuzi na Mtenguaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cheo ni dhamana jamani tusipenda kuwadharau wale wa chini yako,Ardhi tunayoikanyaga ina siri nyingi sana
 
Najiuliza hawa walipata wapi Go Ahead ya kusaini hivyo walivyovisaini naangalia hivi nasema iiiiiiiiiih wacha tuendelee kuangalia msimu wa filamu pendwa.
 
Meja General amepewa heshima kwa kutosemwa hadharani ametumbuliwa ila 'ameandika barua ya kujiuzulu' ila yule wa kule zimamoto sasa chap chap mchezo umeisha.

Kweli JW wanaheshimika.

dodge
 
Back
Top Bottom