Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,112
- 4,361
na bado kapigwa cheti
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha hiyo,leo alivyomsifia Rais acha kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha hiyo,leo alivyomsifia Rais acha kabisa.
Hivi Masauni nae kapona au yeye ilo alimhusu?Haya jamani,nani unaona atafaa kuwa waziri wa mambo ya ndani?
Sasa si wampe yeye hiyo nafasi...?
Huyo sijui kama atapona,labda uzanzibari utambeba.
Mtu wa system huyo na yeye ni kirusi hapo wizaraniHivi kwanini MASAUNI haaminiwi kupewa hiyo wizara kama waziri kamili ?
Kama hatoshi ni kwanini haondolewi kwenye unaibu maana huyu ni bosi wake wa tatu au wa nne kuondolewa lakini yeye yupo tu.
Kwenye masakata yote hayo yeye hajawahi kuhusika tu ?
Kama hajawahi kuhusika hicho sio kigezo cha kupewa uwaziri kamili ?
Nawaza tu.
Hata Mwigulu alikuwa hafaiNa kuvaa bendera. Hata Mwigulu alitumbuliwa licha ya miskafu yake ya bendera. Gundu ni gundu tu.
Ni kweli tupu mkuu! Mfano Tobias Andengenye nimesoma naye ni mtu mwadilifu sana kiasi kwamba Schoolmates zake wote tulikuwa tunajivunia hatua aliyokuwa nayo kwa kusema anaistahili kwa sababu ya uadirifu wake. Lakini ghafla anazalilishwana Mteuzi na Mtenguaji.

AlishafarikiHana mke..?
Kujifanya kujua sana matokeo yake unaandika upuuzi. Subiri kwanza tamko litoke rasmi ndio uje hapa uandike hivyo. Sasa USA wamesema huenda wakajumlisha nchi zingene 6 wewe ushaanza kuwashwa washwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani yeye nani alipitisha ununuzi wa ndege?? /na yeye aachie ngazi
Sent using Jamii Forums mobile app