Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

Mkuu daima siku zoote Mungu ni mkubwa kuliko yeyote yule awaye, ogopa sana machozi ya mtu anaye onewa
Du pole zake Kange Lugola. Sasa tuone yale mauno aliyokuwa anakata huku akibariki mauaji ya raia wasiokuwa na hatua atayafanyia wapi. Go to hell Lugola & Co.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
figganigga,
Wanapenda sana watu wa romania kuwawekea networl za ulinzi na usalama ambazo zinalemga tu sio kuweka mazingira ya usalama ndani ya nchi bali kudhibiti wapinzani.

KULE ZENJI WAMEKABIDHIWA WA ROMANIA NADHANI KANGI KAJIFUNZA HUKO ILI KUMFURHISHA BOSS WAKE. HATARI NI KUBWA NCHI YA ROMANIA NI NCHI NDOGO ISIYO NA TECHNOLOGIA MADHUBUTI KUWEKA NETWORK ZA ULINZI NA USALAMA NDANI YA NCHI. 10% PEOPLE. NALOG OFF.
 
TAKUKURUUU WAMEPEWA SHAVU KUCHUNGUZA HARAKA HUO MKATABA NA KUTOA RIPOTII
KAMA NAMWONA MTU SOON ANAINGIA NDANI YA KAGARI KYETUU PENDWA KAKIJANI AKISHIKA CHUMA KULIA ASIANGUKE AISEE DUNIA KUHESHIMIANA BANA
 
Papaa Mobimba,
Tulisema hapa hapa JF kwamba Lugola hafai,watu wakaziba masikio.Yako wazi sasa,but too late.Uharibifu umeshafanyika.
 
Kweli ukisikia mtu mweusi ni mjinga usikatae. Mfano ww unaponda wanaojadili hili tukio, wakati ww mwenyewe uko humu humu unajadili, na hakuna popote ulipoanzisha mada yenye tija!
Mliombwa msiache kujadili tukio la US travel ban/restrictions na kurukia tukio la uteuzi. Kwa kifupi muendelee na andiko lile la Marekani. Je unaona watu wameweza kutorukia tawi la jingine? Hiyo ndio trend ya mijadala hapa. Ujinga ni kutojua kuwa driving force yenu ni mihemko na wajanja wanacheza karata zao. It’s called spinning Mr. Mwerevu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…