acha kumhusisha Mungu na visasi vya kibinadamu...Mungu anayewaza kama wewe hayupo na hatakuwepo! Ndiyo maana mvua hunyesha kwenye mashamba yote hata lile la mchawi, muuaji, nk!Hatimaye kupiga Vita makanisa ya walokole kumepata jibu .Nilimuonya Lugora humu bado Mjema
mwanajeshi haajiriwi, "anaandikishwa jeshini"
Umejibu vemamwanajeshi haajiriwi, "anaandikishwa jeshini"
Kwa maana hiyo huwa hawalipwi mishahara bali posho?? Wakuu wa Majeshi Nchini wanateuliwa au wanaandikishwa na Rais??mwanajeshi haajiriwi, "anaandikishwa jeshini"
Kama sikosei kuna mswada ulipitishwa Bungeni mwaka 2017 wa kuyaondoa majeshi yote toka Utumishi wa Umma, sijui wakapelekwa category gani vile.
Hawajawahi kuwa watumishi wa umma
Kwenye uzi wako huu, unazungumzia wanajeshi wa baadhi ya nchi au unazungumzia Tanzania?Kuna baadhi ya nchi katiba zao zinatamka hivyo kwamba wanajeshi sio watumishi wa umma ndio maana hutawahi kusikia wanajeshi wamegoma kamwe // ikitokea wanajeshi wamegoma Kama misri enzi za hosni Mubarak ujue serikali imepinduliwa.
Ukifukuza watumishi wa umma 15000 unaathiri wananchi wasiopungua laki moja na nusu ila jenerali mmoja hawezi kuathiri watu laki moja na nusu bila kudhibitiwa. Watumishi mnaonewa kwasababu hamjui hata risasi ina rangi gani ha ha ha ha mngejua hata kuidismantle gobole achilia mbali smg wangewaheshimu. Afrika shall remain poor.
Kwahiyo wanalitumikia taifa kama kikundi cha watu wa kukodiwa?Sio watumishi wa umma, bali wao ndio kinga halisi ya watawala wanaonajisi box la kura. Kama wangekuwa watumishi wa umma wangekaguliwa vyeti fake.
Kwahiyo wanalitumikia taifa kama kikundi cha watu wa kukodiwa?Kama sikosei kuna mswada ulipitishwa Bungeni mwaka 2017 wa kuyaondoa majeshi yote toka Utumishi wa Umma, sijui wakapelekwa category gani vile.
Baada ya hatua ile nikajua kada zitakazobaki ndani ya Public Service imekula kwao. Ile move ilikuwa well calculated.
Kwahiyo wanalitumikia taifa kama kikundi cha watu wa kukodiwa?Hawajawahi kuwa watumishi wa umma
hiyo hoja ya malipo sijui ya mishahara au posho ni ya kwako, imeingia vp kwenye comment yangu?Kwa maana hiyo huwa hawalipwi mishahara bali posho?? Wakuu wa Majeshi Nchini wanateuliwa au wanaandikishwa na Rais??
Sent using Jamii Forums mobile app
Askari huwa na visasi sana. Aome asiingie anga zao na hii issue isiende zaidi ya hapo
Sio watumishi wa umma, bali wao ndio kinga halisi ya watawala wanaonajisi box la kura. Kama wangekuwa watumishi wa umma wangekaguliwa vyeti fake.
Huenda najua zaidi yako mkuu,Kwa kawaida wao hupewa upendeleo na watawala, na lengo hasa ni kuwafumba macho dhidi ya ukandamizaji wanaofanyiwa wananchi. Fuatilia vizuri utajua ninalokuambia.