Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

Hatimaye kupiga Vita makanisa ya walokole kumepata jibu .Nilimuonya Lugora humu bado Mjema
acha kumhusisha Mungu na visasi vya kibinadamu...Mungu anayewaza kama wewe hayupo na hatakuwepo! Ndiyo maana mvua hunyesha kwenye mashamba yote hata lile la mchawi, muuaji, nk!
 
Kwahiyo wanajeshi sio watumishi wa umma?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama sikosei kuna mswada ulipitishwa Bungeni mwaka 2017 wa kuyaondoa majeshi yote toka Utumishi wa Umma, sijui wakapelekwa category gani vile.

Baada ya hatua ile nikajua kada zitakazobaki ndani ya Public Service imekula kwao. Ile move ilikuwa well calculated.
 
Kuna baadhi ya nchi katiba zao zinatamka hivyo kwamba wanajeshi sio watumishi wa umma ndio maana hutawahi kusikia wanajeshi wamegoma kamwe // ikitokea wanajeshi wamegoma Kama misri enzi za hosni Mubarak ujue serikali imepinduliwa.
Kwenye uzi wako huu, unazungumzia wanajeshi wa baadhi ya nchi au unazungumzia Tanzania?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifukuza watumishi wa umma 15000 unaathiri wananchi wasiopungua laki moja na nusu ila jenerali mmoja hawezi kuathiri watu laki moja na nusu bila kudhibitiwa. Watumishi mnaonewa kwasababu hamjui hata risasi ina rangi gani ha ha ha ha mngejua hata kuidismantle gobole achilia mbali smg wangewaheshimu. Afrika shall remain poor.

Wanajeshi ndio wapiga kura halisi wa viongozi madictator. Angalia hata tone inayotumika pindi mwanajeshi anapokuwa amefanya matumizi mabaya ya madaraka, fananisha na manjinia wa miundombinu ndio utajua pumzi halisi ya madictator iko kwa wanajeshi. Ukikuta kiongozi wa nchi anawachukulia hatua wanajeshi, basi ujue yuko madarakani kwa kura halali za wananchi. Ukiona kinyume chake basi jiongeze.
 
Kama sikosei kuna mswada ulipitishwa Bungeni mwaka 2017 wa kuyaondoa majeshi yote toka Utumishi wa Umma, sijui wakapelekwa category gani vile.

Baada ya hatua ile nikajua kada zitakazobaki ndani ya Public Service imekula kwao. Ile move ilikuwa well calculated.
Kwahiyo wanalitumikia taifa kama kikundi cha watu wa kukodiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kawaida wao hupewa upendeleo na watawala, na lengo hasa ni kuwafumba macho dhidi ya ukandamizaji wanaofanyiwa wananchi. Fuatilia vizuri utajua ninalokuambia.
Huenda najua zaidi yako mkuu,

Kwahiyo wao si watumishi wa umma kwasababu wanapewa upendeleo kuliko watumishi wengine ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom