Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

Mliombwa msiache kujadili tukio la US travel ban/restrictions na kurukia tukio la uteuzi. Kwa kifupi muendelee na andiko lile la Marekani. Je unaona watu wameweza kutorukia tawi la jingine? Hiyo ndio trend ya mijadala hapa. Ujinga ni kutojua kuwa driving force yenu ni mihemko na wajanja wanacheza karata zao. It’s called spinning Mr. Mwerevu.

Unaoongea utoto gani dogo, humu mitandaoni ni majukwaa huru, watu wanajadili mada yoyote inayowagusa kwa jinsi watakavyo, na sio jinsi utakavyo ww. Hapa jukwaani ni kama meza iliyojaa vyakula, unachota kidogo kidogo na kupata mchanganyiko uutakao, na sio kama meza ya masikini unayokuta ugali na maharage tu basi ndio kinacholiwa.

Hiyo mada ya US travel ban iko huku huku jukwaani, anayetaka anakwenda kuijadili apendavyo na sio kwamba imefungwa. Nimekuuliza ww, ni mada ipi uliyoanzisha yenye tija zaidi ya ww pia kuishia kujadili mada hizi hizi? Tuonyeshe mada uliyoanzisha ukijadili viwanda, na sio kupangia wanaume wajadili nini hapa jukwaani.
 
tindo,
Chanzo cha yote ni kukurupuka kudhani unawajua watu humu na kukariri wanaandika nini. Rudi mwanzo utaona aliyewapangia watu vya kuandika. Sasa kuanzisha mada humu ndio big deal? Eti viwanda! We vipi bro
 
Dogo kaa kwa kutulia, sioni kama unajipya.
 
Salaam Wana jf,

napenda kumpongeza rais wetu mh John magufuli kumtumbua mh kangi lugola kwenye nafasi ya waziri wa mambo yandani. Miongoni mwa sababu zilizopelekea mh rais achukue hatua hiyo, ni pamoja na kitendo cha mh lugola kuingia mikataba ya manunuzi bila idhini ya bunge.

Na kumpongeza sana mh rais kwa kulinda heshima na nafasi ya bunge kwenye maamuzi ya matumizi ya pesa za umma. Mungu akubariki.
 
Watumishi wa umma kote duniani mjifunze kwamba wanasiasa wanawaogopa wanajeshi kuliko nyinyi.

Mwanasiasa yoyote afrika anaweza kumdhalilisha mtumishi wa umma atakavyo ila ataufyata kwa wanajeshi.

Mwanasiasa anaweza kuamka Leo akawafukuza wakuu wa shule wote mkoa mzima lakini hawezi kamwe kumgusa kanali wa jeshi kwa namna yoyote iwayo.

Uzito unashuka mwanasiasa anaweza kuamka Leo akawafukuza walimu wote kwenye kata ofkoz itakuwa ishu kwenye media lakini nothing will happen ila mwanasiasa huyohuyo hawezi kumfukuza polisi mmoja kwa style atakayowafukuza walimu.

Kiufupi katika nchi za afrika walimu elfu tatu ukiwafukuza at once ndio umemfukuza jenerali mmoja wa jeshi la nchi za afrika.

Hivyo watumishi wa umma wa nchi za afrika wajifunze kuchagua kwa usahihi kipindi Cha uchaguzi.

Wanajeshi ndio Kinga ya madikteta ya afrika mjue Hilo.
 
Lidikteta la afrika linaweza kufukuza watumishi wa umma elfu kumi na tano 15,000 ila hawezi kugusa jenerali wa jeshi kwa kosa lilelile la watumishi 15000
 
Ukifukuza watumishi wa umma 15000 unaathiri wananchi wasiopungua laki moja na nusu ila jenerali mmoja hawezi kuathiri watu laki moja na nusu bila kudhibitiwa. Watumishi mnaonewa kwasababu hamjui hata risasi ina rangi gani ha ha ha ha mngejua hata kuidismantle gobole achilia mbali smg wangewaheshimu. Afrika shall remain poor.
 
Kwa kangi amaheshimu na kinda mamiii ya bunge"vipi mamuzi yake ya ndege kufungia bunge live apo analinda maslahi ya nani
Salaam Wana jf,

napenda kumpongeza rais wetu mh John magufuli kumtumbua mh kangi lugola kwenye nafasi ya waziri wa mambo yandani. Miongoni mwa sababu zilizopelekea mh rais achukue hatua hiyo, ni pamoja na kitendo cha mh lugola kuingia mikataba ya manunuzi bila idhini ya bunge.

Na kumpongeza sana mh rais kwa kulinda heshima na nafasi ya bunge kwenye maamuzi ya matumizi ya pesa za umma. Mungu akubariki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo wanajeshi sio watumishi wa umma?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna baadhi ya nchi katiba zao zinatamka hivyo kwamba wanajeshi sio watumishi wa umma ndio maana hutawahi kusikia wanajeshi wamegoma kamwe // ikitokea wanajeshi wamegoma Kama misri enzi za hosni Mubarak ujue serikali imepinduliwa.
 
Back
Top Bottom