Katibu Mwenezi Polepole, malipo ya 'Lumumba Buku 7' yameathiriwaje na Corona?

Hivi ni kwanini mtu mature kama wewe unatekwa na siasa za ukabila ?!.
Hivi Cdm ingekuwa ya wachaga tu, ingewasumbua kichwa Ccm ?!.

Cdm imeungwa mkono na kupigiwa kura nchi nzima , tena bila mkono wa chuma ndiyo uwasimange wachaga ?!

Odhis *
Ukabila na udini ndio roho ya chadema hii ndio formation yao udini+ukabila=chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe bavicha ni mjinga sana

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hivi ni kwanini mtu mature kama wewe unatekwa na siasa za ukabila ?!.
Hivi Cdm ingekuwa ya wachaga tu, ingewasumbua kichwa Ccm ?!.

Cdm imeungwa mkono na kupigiwa kura nchi nzima , tena bila mkono wa chuma ndiyo uwasimange wachaga ?!

Odhis *

Chadema ni chama cha wachagga huo ndio ukweli kabisa mifano ipo wazi

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ikiwezekane afe tu ili nyie misukule muachwe free akili zenu zirudi mmekuwa misukule original hamjielewi mnapelekwa pelekwa mna tukana watu hovyo hovyo mnaropoka ropoka mnatia aibu nyie madada wa ufipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jingalao yeye anajitegemea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…