Katibu Mwenezi Polepole, malipo ya 'Lumumba Buku 7' yameathiriwaje na Corona?

Corona bado anacheza Ufipa, Lumumba haujafika bado.

Mwenyekiti wa maisha, Mbowe, tunafahamu kaikimbia ofisi anaugulia Corona Dodoma.

Vipi hali yake?

Wachagga hamchelewi!
Na wewe!! Ni misfit kabisa kwa maneno hayo.
 
7000*30=?????mshahara mzuri tu jamani kwa usawa huu
 
Tudanganye kwa faida ya nani? Muulize kada yeyote makaomakuu pale lumumba atakwambia.vijana wa mitandaoni wanalipwa shilingi ngapi kwa siku.
hivi huu utaratibu upo kweli ama ndiyo mambo ya April Mosi.
 
maandishi yako umeandika kama umepiga 4fingers ya kibanda umiza. tena umifanana na yule kijana wa JF CHABURUMA aka BASHITE
Acha kubishana na Huyo Bibi kizee mchawi unapoteza muda wako , inabidi awe anafuta vinyesi wajukuu Ila Hana stress anazileta huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chriss lukosi huyo wamekula Kona wote
 
Vipi wewe washakutoa kwenye "payroll"?
Corona bado anacheza Ufipa, Lumumba haujafika bado.

Mwenyekiti wa maisha, Mbowe, tunafahamu kaikimbia ofisi anaugulia Corona Dodoma.

Vipi hali yake?

Wachagga hamchelewi!
 
🤣🤣

Inabidi nianze kucheka kwanza mkuu,unahisi ni mmoja wao wa buku saba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…