TANZIA Katibu Tawala mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Tixon Nzunda afariki kwa ajali ya gari

TANZIA Katibu Tawala mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Tixon Nzunda afariki kwa ajali ya gari

IMG-20240619-WA0823.jpg
 
Duh... nadhan hizi LC300 ni laini sana...na am sure hii ndio ya kwanza kuleta maafa makubwa sana, serikali imeyanunua kwa wingi sana despite the public outcry... nashauri wawe wananunua gari ngumu na za bei nafuu..sio hizi death traps.
Yaani Serikali inashindwa kununua Land cruiser mkonge ..au hata LX ..
Ni gari imara sana na nafuu kwa bei..

Haya madude sijui LC300 bei sio chini ya million 450 na ukiwa speed 150 ukaona kitu cha gafla haishiki break ..

Sijui madereva wa Serikali huwa hawatest hii migari ? Yaani hizo gari zina system ya ABS ya kudelay sana ..
Gari hizi wanatumia kodi vibaya kwa wananchi
 
Kwahio unataka kufananisha safety features za usafiri wa mkonge 1HZ uliobuniwa 1976 dhidi ya gari yenye teknolojia ya 2024 kiusalama?

Kwa mbung'a iliyotokea ingekua ni cruiser mkonge hata paa la gari lisingeonekana 😂. Hio gari ni imara hakika na eneo ambalo viongozi wanatakiwa kukaa ni siti za nyuma tatizo wabongo wanapenda kuvunja vishoka. Angekaa siti ya nyuma with seatbelt fastened ni hakika angetoka salama tu.
 
Huko road wako rough sana hawa na hizi gari zao..sasa kama hapa inaonekana kaingia kwenye Mninga angalia ulichomfanya..btw apumzike kwa amani!
Kwenye mninga wa msweden hatoki mtu yani, humo hata wangekuwa kwenye G Wagon ilikuwa lazma waishe tu maana chuma inaonekana ilikuwa above 160KPH
 
Wakati mwingine utakuta madereva hawana makosa, pengine walikuwa wamechelewa kwenye shughuli na maboss wengine wana kawaida ya kuwakoromea madereva na kuwafokea kabisa "kanyaga gari wewe si unaona tunachelewa"...... dereva afanyeje si lazima atii amri ya boss ananyoosha mguu matokeo yake si yanakuwa hayo.
Kanyaga gari ndio ujipeleke kwenye mninga wa 113 huo 😁 halafu uso kwa uso. Mi kama dereva siwezi kujiua kisa boss anakoroma.
 
Duh... nadhan hizi LC300 ni laini sana...na am sure hii ndio ya kwanza kuleta maafa makubwa sana, serikali imeyanunua kwa wingi sana despite the public outcry... nashauri wawe wananunua gari ngumu na za bei nafuu..sio hizi death traps.
Hamna gari ngumu kwenye ajali isipokuwa kifaru tu😂
 
Kama unaendesha 200+kph halafu unakutana Lori wala huitaji juhudi kubwa kumfikia muumba wako.
Hawa watu wakiwa kwenye hayo mabati yanayotembea wanajihisi invincible.
Hahahahah mkuu unadhani GWagon ingesaidia hapo?😁
 
Inatukumbusha Profesa Ngowi na Dereva wake Kibaha 2022 wakiwahi kazini Morogoro. Dereva aliingia chini ya lorry la Contena wakafa Hapo Hapo wote.
wale waliangukiwa na container, sio ajali ya speed. Ni lorry mbili ziligongana container likavuka likawabonyeza wao.
 
Back
Top Bottom