TANZIA Katibu Tawala mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Tixon Nzunda afariki kwa ajali ya gari

TANZIA Katibu Tawala mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Tixon Nzunda afariki kwa ajali ya gari

Madereva wa serikali wanakuwaga making kong sana barabarani kwasababu sheria za barabarani haziwahusu.

Well, sheria kuu ya fizikia ni kwamba "no two objects shall occupy the same space at the same time" Hii haijalishi plate number

Kuanzia mmoja wao aniparamie nikiwa nimesimama kabisa Iyovi, na nikaishia kutengeneza gari kwa gharama zangu kwasababu hawana bima, nakaa nao mbali
Inatukumbusha Profesa Ngowi na Dereva wake Kibaha 2022 wakiwahi kazini Morogoro. Dereva aliingia chini ya lorry la Contena wakafa Hapo Hapo wote.
 
Duh... nadhan hizi LC300 ni laini sana...na am sure hii ndio ya kwanza kuleta maafa makubwa sana, serikali imeyanunua kwa wingi sana despite the public outcry... nashauri wawe wananunua gari ngumu na za bei nafuu..sio hizi death traps.
 
Madereva wa Viongozi na viongozi wanajimaliza wenyewe barabarani kwa kujiona wao ndio wenye haki ya kuendesha wanavyotaka bila kuzingatia sheria za usalama wa barabarani. Wao muda wote kundesha katika upande usio wao kwa speed ya ajabu sasa wakiyatimba ni buyu kweli
 
Duh... nadhan hizi LC300 ni laini sana...na am sure hii ndio ya kwanza kuleta maafa makubwa sana, serikali imeyanunua kwa wingi sana despite the public outcry... nashauri wawe wananunua gari ngumu na za bei nafuu..sio hizi death traps.
Mkuu cabin haijabonyea ndani, kioo hakijameguka, hata usukani haujachomoka kumfyatua dereva.

Gari imefanya kazi yake. Imejitoa muhanga body ili kulinda cabin. Huenda wangesurvive.
 
Gari ya 500M, SUV iliyo juu yenye strong chassis
Gari Mpya yenye brakes na suspension nzuri, yenye driver assist kibao, SRS airbag 8+ na mikanda mipyaa

Kupiga mzinga mpaka kufa inabidi ujutahidi sana. Mno. Si ajabu mikanda haikuvaliwa
Kama unaendesha 200+kph halafu unakutana Lori wala huitaji juhudi kubwa kumfikia muumba wako.
Hawa watu wakiwa kwenye hayo mabati yanayotembea wanajihisi invincible.
 
Kama unaendesha 200+kph halafu unakutana Lori wala huitaji juhudi kubwa kumfikia muumba wako.
Hawa watu wakiwa kwenye hayo mabati yanayotembea wanajihisi invincible.
Just because wana king'ora ndio wanasahau kuchukua tahadhari yoyote. Madereva wanasahau kwamba japo sheria inakuruhusu kwenda haimaanishi uende mzima mzima bila tahadhari.

Mfano kwenye taa, hata kama ziko kijani sio upite na zote bali angalia angalia.
 
Nijuavyo ni kwamba Magari yote ya Wakubwa Serikalini ni ya Kisasa na yana Airbags Kuwasaidia Ajalini je, la RAS wa Kilimanjato ni Mtumba?

Mimi sina hata Baiskeli hivyo nitashukuru tu Wataalam wa Magari na mnayoyamiliki mkinielimisha ambaye hata sina.
 
Back
Top Bottom