Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Escort ya polisi ikamtoa akili akashindwa kuchukua tahadhari? Alikuwa umbali gani kutoka escort?Ukisikiliza,unaweza kusema hii ajali imetengenezwa
Kumbe ni nani?ALIE KUAMBIA ISRAEL NDIO ANAE WINDA ROHO ZA WATU NI NANI ACHA KUCHAFUA MAJINA
Sent from my OPPO A37m using JamiiForums mobile app
🙏🙏Pole Sana 🐼
Escort ya polisi imemponza dereva wa RAS,Taarifa za awali kutoka mkoani Kilimanjaro zinaeleza kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Kilimanjaro, Dkt Tixon Nzunda pamoja na dereva wake wamefariki dunia kwa ajali iliyotokea eneo la Mijohororoni mkoani humo.
Bado mamlaka husika hazijatoa taarifa juu ya ajali hiyo.
======
Dkt. Tixon Tuyangine Nzunda alikuwa katibu tawala mkoa wa Kilimanjaro, nafasi aliyoteuliwa na Rais Samia Suluhu na kuapishwa 19 Machi, 2023.
Nzunda alizaliwa January 29, 1968 na ameacha mke na watoto wanne. Aliajiriwa na Serikali mwaka 1992 kama afisa msaidizi wa elimu daraja la tatu na tangu hapo ameshika nafasi kadhaa ikiwemo katibu mkuu msaidizi utumishi, katibu tawala mkoa wa Rukwa na naibu katibu mkuu Serikali za mitaa.
Picha kutoka Maktaba.
Tunduma tunamiliki mtaa wetu pale. Kuna mtaa mmoja una jina la ukoo fulani.Baba yangu kamfundisha shule ya msingi huyo bwana Nzunda,kwao ni Tunduma(Mtaa wa Msinde) ila sijui watamzika Kwao au Dar nyumbani kwake
Juzi asubuhi nilishuhudia msafara wa kiongozi ambaye sikuweza kujua ni nani,Huko serikalini ajali nyingi sana.
Ni kulogana au uzembe wa madereva??
Pole kwa wafiwa.
Haya madereva yanayopenda kuovateki magari bila kutumia akili ya vipimo ni bure kabisa !Taarifa za awali kutoka mkoani Kilimanjaro zinaeleza kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Kilimanjaro, Dkt Tixon Nzunda pamoja na dereva wake wamefariki dunia kwa ajali iliyotokea eneo la Mijohororoni mkoani humo.
Bado mamlaka husika hazijatoa taarifa juu ya ajali hiyo.
======
Dkt. Tixon Tuyangine Nzunda alikuwa katibu tawala mkoa wa Kilimanjaro, nafasi aliyoteuliwa na Rais Samia Suluhu na kuapishwa 19 Machi, 2023.
Nzunda alizaliwa January 29, 1968 na ameacha mke na watoto wanne. Aliajiriwa na Serikali mwaka 1992 kama afisa msaidizi wa elimu daraja la tatu na tangu hapo ameshika nafasi kadhaa ikiwemo katibu mkuu msaidizi utumishi, katibu tawala mkoa wa Rukwa na naibu katibu mkuu Serikali za mitaa.
Picha kutoka Maktaba.
Wanaofariki kwa siku kwa namna yoyote ile ni wengi sana.Taarifa za awali kutoka mkoani Kilimanjaro zinaeleza kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Kilimanjaro, Dkt Tixon Nzunda pamoja na dereva wake wamefariki dunia kwa ajali iliyotokea eneo la Mjohoroni mkoani humo.
Bado mamlaka husika hazijatoa taarifa juu ya ajali hiyo.
======
Dkt. Tixon Tuyangine Nzunda alikuwa katibu tawala mkoa wa Kilimanjaro, nafasi aliyoteuliwa na Rais Samia Suluhu na kuapishwa 19 Machi, 2023.
Nzunda alizaliwa January 29, 1968 na ameacha mke na watoto wanne. Aliajiriwa na Serikali mwaka 1992 kama afisa msaidizi wa elimu daraja la tatu na tangu hapo ameshika nafasi kadhaa ikiwemo katibu mkuu msaidizi utumishi, katibu tawala mkoa wa Rukwa na naibu katibu mkuu Serikali za mitaa.
Picha kutoka Maktaba.
Hao wanaokubali kuendeshwa kwa spidi kali huwa nashindwa kuwaelewa ni nini hasa huwa wanakiamini katika usalama wao wanapo kuwa kwenye gari zao ??Juzi asubuhi nilishuhudia msafara wa kiongozi ambaye sikuweza kujua ni nani,
Speed ya magari kwenye msafara huo ilinifanya nijiulize kama hao walioko ndani ya hayo magari wataendelea kupumua baada ya kilomita 20 mbele,
Cha kushangaza sikusikia taarifa zozote za ajali siku hiyo, ile misafara ya viongozi ni hatari kwao na kwetu.
Dah,.Hasara mie inaniuma hiyo gari.. mil 450+ imepotea hapo.