Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro, Shaka Hamdu Shaka asimamishwa kwa tuhuma za rushwa

CCM wanajifanya kuwa pamoja ila hawako pamoja Hata kidogo
 
Duh
 
Leo kateuliwa kuwa katibu mwenezi wa ccm taifa. "Mimi na magufuli ni kitu kimoja" kweli kiswahili cha bara na visiwani nimeamini kuwa ni lugha tofauti
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kuna kipindi fulani aliolewa Mombasa Kenya,sasa sijui ndoa yake iliishia wapi. Hizi taarifa zilitolewa na wana UVCCM wenzake wakati wa mchakato wa uchaguzi wa ndani.
Hiyo ndoa imeongezeka hadhi
 
Kwahiyo Mashoga yamepewa uakilishi Sisi emu?
 
Ukifika Kule kilimanjaro, ukumbuke pia kumtumbua Miriam Kaaya, Katibu wa CCM wilaya ya moshi vijiji na vunjo. Kila rushwa kwa wajumbe waliotia nia kugombea ubunge 2020
Hivi kuna ccm ngapi ?
 
Huyo ndio shaka hamduni shaka mwenye tuhuma ya jpm ya rushwa. Ndio eti katibu mwenezi wa ccm taifa.😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…