Uchaguzi 2020 Katibu wa CCM Wilaya Kyela anadaiwa kumwaga dawa ukumbini muda huu

Kumbe kyela ni jiji?
 
Kwa wadhifa wake sio tuu hatakiwi kujihusisha na matendo hayo... Bali pia hatakiwi kuhisiwa kuwa anashiriki katika matendo hayo
 
Yeye mwenyewe huyo rais wako ni kidogo kwenye hayo mambo? Yeye pia bila hayo madaraka atajikuta kwenye wakati mgumu sana kwenye ushindani wa kweli.

Kama unasema wote wako hivyo, unaruka nini kukanyaga wapi?

Wa kwangu amefanya mambo makubwa na mazuri akwa mbayo hayajawahi kufanywa tangu uwepo wa hii nchi. Huyo Member wako sas ana nini cha kuonyesha zaidi ya uroho wa madarakae ili amalizie mishe ni waliyoianzisha na familia yake miaka iliyopita?
 
Madegree wapi boss, hayo madegree huwa yanasingiziwa tu. Watu wana nguvu zao za asili, na hizo ndio degree zao za kweli.
Ndiyo mkuu ni kweli Tanzania ni nchi ya giza daima! Siri ya Bashite na Meko inajulikana na kamati ya ufundi ya Meko inayoratibiwa na Bashite inajulikana! SUbiri kama kuna mwenye ubavu wa kukata jina hilo kigamboni.
Huko kilolo alikuwepo Professor Msola naye ni gwiji wa magwiji toka akiwa SUA hadi ubunge na uwaziri. Kutoa kafara kama kazi.
Mwakyembe ni cha mtoto.
Wale wenye maalbino tafadhali ficheni ndugu zenu kipindi cha kuchinjwa hiki.
 
Ni kosa kuleta dawa,kutakuwa na wa/mgonjwa huko..au ni dawa ya nini,ongeza volyumu
 

Tafuta popote nilipowahi kumuunga mkono muhuni yoyote toka ccm. Ukipaona nipigwe ban mpaka uchaguzi mkuu upite. Hao ni kuanzia Lowassa, Membe, Magufuli, JK nk. Ukiona sehemu yoyote nimewasifia uje ulete mrejesho.
 
Mkataeni huyo mshirikina enyi watu wa Kyela.
 
Wanajikinga dhidi ya adui kmuu CDM
 
Pepo ya Mabwege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…