DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Uchawi wa Mwakyembe.....aaaaaah noma sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu, habari nyeti kutoka kwenye ukumbi mkubwa zaidi jijini kyela zinadai Lukas Mwanyanda katibu wa CCM wilaya, ameonekana akimwaga madawa ukumbi utakao tumika kwa uchaguzi kesho.
Vyanzo viwili nyeti vinakiri kushuhudia tukio hilo ambalo limefanyika wazi dakika chache zilizopita.
"Tulimuona alianzia kumwaga eneo la viti vya wagombea , meza kuu na baadae kwa wajumbe, sisi watatu tumemuona" alieleza mnyetishaji huyo ambaye anajilaumu kupoteza nafasi ya kumpa kichapo katibu huyo.
Chanzo hiki kimejaribu kumsaka Dr Kimati katibu mkongwe kutaka kujua mwenendo wa mmwagaji dawa huyu ambaye Ni mtumishi wake lakini hakupatikana. Lukas Mwanyanda kama anavyojiita anafahamika kutembea na kirungu chenye mashanga mashanga na kuvaa mapete ya rangi rangi kama alama yake ya kisiasa.
Nimefika ukumbini hapo muda huu na kukuta ukumbi mzima umezungukwa na mashushu wa Kila mgombea na pikipiki.
Katibu huyu anadaiwa kuwa mtiifu kwa mbunge anae maliza muda wake Daktari msomi Harrison mwakyembe.
KESHO
Kesho Ni mtifuano mkali Sana Kati ya Mafahari watatu, Mbunge Dr mwakyembe, Mwenyekiti wa Chama Ndugu Kinanas na Mwanasiasa Machachari mdomoni Mwenyekiti mstaafu wa Halmashauri Dr Hunter Mwakifuna.
N.B
Wewe kigogo unae karibia kuleta dawa nyingine tunazo habari zako, Tumesikia mmeapa wajumbe wajutie kuingia ukumbini humu,
Lakini je vitendo vya ushirikina vitawapa mafanikio??
Tukutane Kesho.....
Lahaula.
Kamesema Jiji haka kabintiKumbe kyela ni jiji?
Uaneni tu,tumewachoka.
Umenichekesha Sana.Sagoma hiki in kipindi chao cha mavuno. Uchaguzi ukiisha wanaoshinda wanaenda sasa kutoa shukrani makanisani.
Yeye mwenyewe huyo rais wako ni kidogo kwenye hayo mambo? Yeye pia bila hayo madaraka atajikuta kwenye wakati mgumu sana kwenye ushindani wa kweli.
Ndiyo mkuu ni kweli Tanzania ni nchi ya giza daima! Siri ya Bashite na Meko inajulikana na kamati ya ufundi ya Meko inayoratibiwa na Bashite inajulikana! SUbiri kama kuna mwenye ubavu wa kukata jina hilo kigamboni.Madegree wapi boss, hayo madegree huwa yanasingiziwa tu. Watu wana nguvu zao za asili, na hizo ndio degree zao za kweli.
Kama unasema wote wako hivyo, unaruka nini kukanyaga wapi?
Wa kwangu amefanya mambo makubwa na mazuri akwa mbayo hayajawahi kufanywa tangu uwepo wa hii nchi. Huyo Member wako sas ana nini cha kuonyesha zaidi ya uroho wa madarakae ili amalizie mishe ni waliyoianzisha na familia yake miaka iliyopita?
Mkataeni huyo mshirikina enyi watu wa Kyela.Wakuu, habari nyeti kutoka kwenye ukumbi mkubwa zaidi jijini kyela zinadai Lukas Mwanyanda katibu wa CCM wilaya, ameonekana akimwaga madawa ukumbi utakaotumika kwa uchaguzi kesho.
Vyanzo viwili nyeti vinakiri kushuhudia tukio hilo ambalo limefanyika wazi dakika chache zilizopita.
"Tulimuona alianzia kumwaga eneo la viti vya wagombea , meza kuu na baadae kwa wajumbe, sisi watatu tumemuona" alieleza mnyetishaji huyo ambaye anajilaumu kupoteza nafasi ya kumpa kichapo katibu huyo.
Chanzo hiki kimejaribu kumsaka Dr Kimati katibu mkongwe kutaka kujua mwenendo wa mmwagaji dawa huyu ambaye Ni mtumishi wake lakini hakupatikana. Lukas Mwanyanda kama anavyojiita anafahamika kutembea na kirungu chenye mashanga mashanga na kuvaa mapete ya rangi rangi kama alama yake ya kisiasa.
Nimefika ukumbini hapo muda huu na kukuta ukumbi mzima umezungukwa na mashushu wa Kila mgombea na pikipiki.
Katibu huyu anadaiwa kuwa mtiifu kwa mbunge anae maliza muda wake Daktari msomi Harrison mwakyembe.
KESHO
Kesho Ni mtifuano mkali Sana Kati ya Mafahari watatu, Mbunge Dr mwakyembe, Mwenyekiti wa Chama Ndugu Kinanas na Mwanasiasa Machachari mdomoni Mwenyekiti mstaafu wa Halmashauri Dr Hunter Mwakifuna.
N.B
Wewe kigogo unae karibia kuleta dawa nyingine tunazo habari zako, Tumesikia mmeapa wajumbe wajutie kuingia ukumbini humu,
Lakini je vitendo vya ushirikina vitawapa mafanikio??
Tukutane Kesho...
Eee,si munadai tume ya uchaguzi ni ya CCM mkuu?Kumbe ndiyo lengo lenu!
Wanajikinga dhidi ya adui kmuu CDMWakuu, habari nyeti kutoka kwenye ukumbi mkubwa zaidi jijini kyela zinadai Lukas Mwanyanda katibu wa CCM wilaya, ameonekana akimwaga madawa ukumbi utakaotumika kwa uchaguzi kesho.
Vyanzo viwili nyeti vinakiri kushuhudia tukio hilo ambalo limefanyika wazi dakika chache zilizopita.
"Tulimuona alianzia kumwaga eneo la viti vya wagombea , meza kuu na baadae kwa wajumbe, sisi watatu tumemuona" alieleza mnyetishaji huyo ambaye anajilaumu kupoteza nafasi ya kumpa kichapo katibu huyo.
Chanzo hiki kimejaribu kumsaka Dr Kimati katibu mkongwe kutaka kujua mwenendo wa mmwagaji dawa huyu ambaye Ni mtumishi wake lakini hakupatikana. Lukas Mwanyanda kama anavyojiita anafahamika kutembea na kirungu chenye mashanga mashanga na kuvaa mapete ya rangi rangi kama alama yake ya kisiasa.
Nimefika ukumbini hapo muda huu na kukuta ukumbi mzima umezungukwa na mashushu wa Kila mgombea na pikipiki.
Katibu huyu anadaiwa kuwa mtiifu kwa mbunge anae maliza muda wake Daktari msomi Harrison mwakyembe.
KESHO
Kesho Ni mtifuano mkali Sana Kati ya Mafahari watatu, Mbunge Dr mwakyembe, Mwenyekiti wa Chama Ndugu Kinanas na Mwanasiasa Machachari mdomoni Mwenyekiti mstaafu wa Halmashauri Dr Hunter Mwakifuna.
N.B
Wewe kigogo unae karibia kuleta dawa nyingine tunazo habari zako, Tumesikia mmeapa wajumbe wajutie kuingia ukumbini humu,
Lakini je vitendo vya ushirikina vitawapa mafanikio??
Tukutane Kesho...
Pepo ya MabwegeWakuu, habari nyeti kutoka kwenye ukumbi mkubwa zaidi jijini kyela zinadai Lukas Mwanyanda katibu wa CCM wilaya, ameonekana akimwaga madawa ukumbi utakaotumika kwa uchaguzi kesho.
Vyanzo viwili nyeti vinakiri kushuhudia tukio hilo ambalo limefanyika wazi dakika chache zilizopita.
"Tulimuona alianzia kumwaga eneo la viti vya wagombea , meza kuu na baadae kwa wajumbe, sisi watatu tumemuona" alieleza mnyetishaji huyo ambaye anajilaumu kupoteza nafasi ya kumpa kichapo katibu huyo.
Chanzo hiki kimejaribu kumsaka Dr Kimati katibu mkongwe kutaka kujua mwenendo wa mmwagaji dawa huyu ambaye Ni mtumishi wake lakini hakupatikana. Lukas Mwanyanda kama anavyojiita anafahamika kutembea na kirungu chenye mashanga mashanga na kuvaa mapete ya rangi rangi kama alama yake ya kisiasa.
Nimefika ukumbini hapo muda huu na kukuta ukumbi mzima umezungukwa na mashushu wa Kila mgombea na pikipiki.
Katibu huyu anadaiwa kuwa mtiifu kwa mbunge anae maliza muda wake Daktari msomi Harrison mwakyembe.
KESHO
Kesho Ni mtifuano mkali Sana Kati ya Mafahari watatu, Mbunge Dr mwakyembe, Mwenyekiti wa Chama Ndugu Kinanas na Mwanasiasa Machachari mdomoni Mwenyekiti mstaafu wa Halmashauri Dr Hunter Mwakifuna.
N.B
Wewe kigogo unae karibia kuleta dawa nyingine tunazo habari zako, Tumesikia mmeapa wajumbe wajutie kuingia ukumbini humu,
Lakini je vitendo vya ushirikina vitawapa mafanikio??
Tukutane Kesho...
Lakini si alituambia yeye ni msomi anayejielewa na ana madegree kibao
Hapa mwakyembe anaingiaje?Mwakyembe mara kanisani mara uchawi !
Ni wakati wa mavuno kwa waganga wa kienyeji na madalali waoKipindi hiki ma witch doctors watapiga sana pesa
Mleta uzi anadai kwamba huyo mmwaga dawa ni Team MwakyembeHapa mwakyembe anaingiaje?