mzee wa ndoto
Member
- Jul 10, 2020
- 75
- 46
Wa stendiAhaa kwa hiyo huko alikoenda aliahidiwa.
Mi nakuelewaga sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa stendiAhaa kwa hiyo huko alikoenda aliahidiwa.
Hii mbinu wale wenye uchu wa madaraka wataikimbilia sana kama ndio hivyoBila shaka yoyote ile
Usitupangie CHADEMA ni taasisi imara sn ndio maana hao mbwa wanahaha kila siku kwa kutumia greenguard polisi, tume, vitisho vya msajili, takukuru lkn wako imara km Simba.....Salary Slip,
Nassari kaondoka bila kukashifu mtu, mnapoanza kumchokonoa akianza kuongea tusimlaumu. Hakuna tuhuma alizoibua mnazopaswa kujibu ni bora mngeacha haya mambo mjenge chama. Mnabomoa chama wenyewe kwa mambo yanayoepukika.
Hilo jina ni la kanda ya ziwa,Kanda ya Kati (Singida)
Salary Slip,
Nassari kaondoka bila kukashifu mtu, mnapoanza kumchokonoa akianza kuongea tusimlaumu. Hakuna tuhuma alizoibua mnazopaswa kujibu ni bora mngeacha haya mambo mjenge chama. Mnabomoa chama wenyewe kwa mambo yanayoepukika.
Salary Slip,
Nassari kaondoka bila kukashifu mtu, mnapoanza kumchokonoa akianza kuongea tusimlaumu. Hakuna tuhuma alizoibua mnazopaswa kujibu ni bora mngeacha haya mambo mjenge chama. Mnabomoa chama wenyewe kwa mambo yanayoepukika.
Duuh!!?Mwigulu for presidency 2025
Arusha inaenda CCM? Lakini mbona Jana hamkuenda kukata viuno kwenye uzinduzi wa barabara mpaka Jafo akapanic.Mtapiga sana porojo , arusha inaenda kwa ccm ...wana wa arusha wamechoka na wahuni
good guy ndo huwa hivyoMbona CDM angelipata ubunge tena! He is a god guy ni hizo njaa za kisengelema Mwanza.
Unazungumiza Arusha hii hii ya Lema? Au arusha ya maneromango kwa jafo?Mtapiga sana porojo , arusha inaenda kwa ccm ...wana wa arusha wamechoka na wahuni
Ahaa kwa hiyo huko alikoenda aliahidiwa.
Yani jimbo kaliacha mwenyewe, halafu analitaka tena?Kitendo cha Nassary kutelekeza jimbo ni cha kihuni wa utoto. Hata angeomba nafasi ya kugombea udiwani hatukuwa tayari! Mtu akili zimejaa kamasi tupu.
Unafikiri waliokashfu wamejiumiza wenyewe au wamekiumiza chama? Utakashfu wewe halafu nafsi yako itakuwa inakusuta wewe mwenyewe,hawana raha wala amani wajinga waleSalary Slip,
Nassari kaondoka bila kukashifu mtu, mnapoanza kumchokonoa akianza kuongea tusimlaumu. Hakuna tuhuma alizoibua mnazopaswa kujibu ni bora mngeacha haya mambo mjenge chama. Mnabomoa chama wenyewe kwa mambo yanayoepukika.
Ukigombea ubunge unachukua familia nyingine.Nilikuwa sijui, alitelekeza jimbo? Si alikuwa anamuuguza mkewe USA? Basi kwa rating yao asingelipita.
Huyo ni wazi hakutimiza wajibu wake ipasavyo ndio maana kaonyesha kutojiamini.Salary Slip,
This is very smart indeed! Rating past performance for further opportunities /erformance! Lakini mbona Nasari was superb? Salary Slip
Utoro na utoto.Kitendo cha Nassary kutelekeza jimbo ni cha kihuni wa utoto. Hata angeomba nafasi ya kugombea udiwani hatukuwa tayari! Mtu akili zimejaa kamasi tupu.
Basi kwa style hiyo upinzani kazi unayoNdiyo maana yake.
Ukifuatilia majibu ya mwenyekiti wa ccm kuhusu watu wanahamia huko toka upinzani kupewa nafasi za kugombea na wafia chama kuachwa, na pia maneno yaliyopo kuwa ccm haitamsimamisha mgombea wao kwenye jimbo ambalo kuna mgombea aliye hama upinzani alafu akatia nia ya kugombea kupitia ccm, basi hayo yanaonesha kuwa kuna mchezo ulisha chezwa.
nimekupata vema. MSc , then kuuguza.... mkanganyiko!Ukigombea ubunge unachukua familia nyingine.
Familia ya jimbo.
Unakuwa na familia mbili, familia na mkeo, na familia ya jimbo.
Mkeo akipata matatizo, hiyo ni familia moja. Unatakiwa kuweza kujipanga kuhudumia familia zote mbili.
Ukishindwa, unaiacha moja.
Ndicho alichofanya Nassari.
Katika siasa, kuacha uongozi ambao umeuomba na watu wakakupigia kura ni tusi kubwa sana kwa waliokupigia kura.
Ndiyo maana ni rahisi kwa mtu kujiuzulu Uwaziri alioteuliwa na rais, lakini ni nadra sana mtu kujiuzulu au ku abdicate ubunge kama alivyofanya Nassari.
Ni tusi kubwa sana kwa wapiga kura wako.
Na ukiacha uongozi huo, kuutaka tena ni kama kuweka chumvi kutonesha kidonda.
Wewe umetelekeza jimbo, kwa sababu ya habari ambazo hazieleweki za kuuguza mkeo (ambazo zinahitaji ufafanuzi zaidi, kuna habari kwamba Nassari alikuwa anasoma Chicago shahada ya Uzamili). Kama unajitutumua kumpeleka mkeo Marekani, Marekani kuna watu maalum kazi zao ni kuuguza, ungewaajiri. Vinginevyo, ungempeleka mkeo hospitali ya karibu uendelee na kazi uliyotumwa na watu ya ubunge.
Kama hizi habari ni kweli, basi Nassari ni mjinga kufikiri kwamba bado alikuwa na nafasi ya kupata ubunge tena.