Uchaguzi 2020 Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha asema Nassari alimtumia SMS akitaka kuhakikishiwa kupewa nafasi ya kugombea Ubunge tena

Salary Slip,

Nassari kaondoka bila kukashifu mtu, mnapoanza kumchokonoa akianza kuongea tusimlaumu. Hakuna tuhuma alizoibua mnazopaswa kujibu ni bora mngeacha haya mambo mjenge chama. Mnabomoa chama wenyewe kwa mambo yanayoepukika.
Usitupangie CHADEMA ni taasisi imara sn ndio maana hao mbwa wanahaha kila siku kwa kutumia greenguard polisi, tume, vitisho vya msajili, takukuru lkn wako imara km Simba.....
 
Salary Slip,

Nassari kaondoka bila kukashifu mtu, mnapoanza kumchokonoa akianza kuongea tusimlaumu. Hakuna tuhuma alizoibua mnazopaswa kujibu ni bora mngeacha haya mambo mjenge chama. Mnabomoa chama wenyewe kwa mambo yanayoepukika.

Ukitaka kujua hawa vijana wa chadema ni wapuuzi, ona hili la nasari
Salary Slip,

Nassari kaondoka bila kukashifu mtu, mnapoanza kumchokonoa akianza kuongea tusimlaumu. Hakuna tuhuma alizoibua mnazopaswa kujibu ni bora mngeacha haya mambo mjenge chama. Mnabomoa chama wenyewe kwa mambo yanayoepukika.

Ni vigumu sana kuwaelewa hawa chadema, mtu akitoka na kukaa kimya wanamfuata na matusi,
akiongea wanasema angelinda heshima kwa kukaa kimya,

Je wao wanayo haki ya kutukana na kubeza, lakini mtuhumiwa hana hiyo haki ya kueleza mapungufu yao?

Akiunga mkono shughuli za maendeleo wanasema ni msariti, akiondoka ili atimize wazo la nafsi yake wanasema kwa nini asiunge mkono akiwa hukohuko chadema, ili hali wanajua akifanya hivyo wanambagua au kumfukuza.
Mpaka sasa sijajua huwa wanataka nini,

Je wanjua nini wanafanya au hawajui ila wanaona wapo sawa?
 
CCM wakimsimamisha Nassari kwenye jimbo lolote kanda ya kaskazini anapigwa za uso saa mbili asubuhi.
 
Ahaa kwa hiyo huko alikoenda aliahidiwa.

Ndiyo maana yake.
Ukifuatilia majibu ya mwenyekiti wa ccm kuhusu watu wanahamia huko toka upinzani kupewa nafasi za kugombea na wafia chama kuachwa, na pia maneno yaliyopo kuwa ccm haitamsimamisha mgombea wao kwenye jimbo ambalo kuna mgombea aliye hama upinzani alafu akatia nia ya kugombea kupitia ccm, basi hayo yanaonesha kuwa kuna mchezo ulisha chezwa.
 
Kitendo cha Nassary kutelekeza jimbo ni cha kihuni wa utoto. Hata angeomba nafasi ya kugombea udiwani hatukuwa tayari! Mtu akili zimejaa kamasi tupu.
Yani jimbo kaliacha mwenyewe, halafu analitaka tena?
 
Salary Slip,

Nassari kaondoka bila kukashifu mtu, mnapoanza kumchokonoa akianza kuongea tusimlaumu. Hakuna tuhuma alizoibua mnazopaswa kujibu ni bora mngeacha haya mambo mjenge chama. Mnabomoa chama wenyewe kwa mambo yanayoepukika.
Unafikiri waliokashfu wamejiumiza wenyewe au wamekiumiza chama? Utakashfu wewe halafu nafsi yako itakuwa inakusuta wewe mwenyewe,hawana raha wala amani wajinga wale
 
Nilikuwa sijui, alitelekeza jimbo? Si alikuwa anamuuguza mkewe USA? Basi kwa rating yao asingelipita.
Ukigombea ubunge unachukua familia nyingine.

Familia ya jimbo.

Unakuwa na familia mbili, familia na mkeo, na familia ya jimbo.

Mkeo akipata matatizo, hiyo ni familia moja. Unatakiwa kuweza kujipanga kuhudumia familia zote mbili.

Ukishindwa, unaiacha moja.

Ndicho alichofanya Nassari.

Katika siasa, kuacha uongozi ambao umeuomba na watu wakakupigia kura ni tusi kubwa sana kwa waliokupigia kura.

Ndiyo maana ni rahisi kwa mtu kujiuzulu Uwaziri alioteuliwa na rais, lakini ni nadra sana mtu kujiuzulu au ku abdicate ubunge kama alivyofanya Nassari.

Ni tusi kubwa sana kwa wapiga kura wako.

Na ukiacha uongozi huo, kuutaka tena ni kama kuweka chumvi kutonesha kidonda.

Wewe umetelekeza jimbo, kwa sababu ya habari ambazo hazieleweki za kuuguza mkeo (ambazo zinahitaji ufafanuzi zaidi, kuna habari kwamba Nassari alikuwa anasoma Chicago shahada ya Uzamili). Kama unajitutumua kumpeleka mkeo Marekani, Marekani kuna watu maalum kazi zao ni kuuguza, ungewaajiri. Vinginevyo, ungempeleka mkeo hospitali ya karibu uendelee na kazi uliyotumwa na watu ya ubunge.

Kama hizi habari ni kweli, basi Nassari ni mjinga kufikiri kwamba bado alikuwa na nafasi ya kupata ubunge tena.
 
Heeeeeh haya makubwa sas, kwahiyo huko alikoenda ndo kaahidiwa? Dunia simama nishuke.
 
Ndiyo maana yake.
Ukifuatilia majibu ya mwenyekiti wa ccm kuhusu watu wanahamia huko toka upinzani kupewa nafasi za kugombea na wafia chama kuachwa, na pia maneno yaliyopo kuwa ccm haitamsimamisha mgombea wao kwenye jimbo ambalo kuna mgombea aliye hama upinzani alafu akatia nia ya kugombea kupitia ccm, basi hayo yanaonesha kuwa kuna mchezo ulisha chezwa.
Basi kwa style hiyo upinzani kazi unayo
 
Ukigombea ubunge unachukua familia nyingine.

Familia ya jimbo.

Unakuwa na familia mbili, familia na mkeo, na familia ya jimbo.

Mkeo akipata matatizo, hiyo ni familia moja. Unatakiwa kuweza kujipanga kuhudumia familia zote mbili.

Ukishindwa, unaiacha moja.

Ndicho alichofanya Nassari.

Katika siasa, kuacha uongozi ambao umeuomba na watu wakakupigia kura ni tusi kubwa sana kwa waliokupigia kura.

Ndiyo maana ni rahisi kwa mtu kujiuzulu Uwaziri alioteuliwa na rais, lakini ni nadra sana mtu kujiuzulu au ku abdicate ubunge kama alivyofanya Nassari.

Ni tusi kubwa sana kwa wapiga kura wako.

Na ukiacha uongozi huo, kuutaka tena ni kama kuweka chumvi kutonesha kidonda.

Wewe umetelekeza jimbo, kwa sababu ya habari ambazo hazieleweki za kuuguza mkeo (ambazo zinahitaji ufafanuzi zaidi, kuna habari kwamba Nassari alikuwa anasoma Chicago shahada ya Uzamili). Kama unajitutumua kumpeleka mkeo Marekani, Marekani kuna watu maalum kazi zao ni kuuguza, ungewaajiri. Vinginevyo, ungempeleka mkeo hospitali ya karibu uendelee na kazi uliyotumwa na watu ya ubunge.

Kama hizi habari ni kweli, basi Nassari ni mjinga kufikiri kwamba bado alikuwa na nafasi ya kupata ubunge tena.
nimekupata vema. MSc , then kuuguza.... mkanganyiko!
 
Back
Top Bottom