Inamaana KATUGA kazi anaofanya ni ya bure?Katibu wa Chadema mkoa wa Mara anetoa wito huo akirejea mifano ya Nelson Mandela alivyoweza kukaa meza moja na makaburu na muafaka ukapatikana.
My Take:Inaelekea kuna misimamo miwili kinzani ndani ya CDM juu ya hatua za kufanya katika utatuzi wa maswala muhimu ndani ya chama chao.
Kalambishwa asali huyo katibuKatibu wa Chadema mkoa wa Mara anetoa wito huo akirejea mifano ya Nelson Mandela alivyoweza kukaa meza moja na makaburu na muafaka ukapatikana.
My Take:Inaelekea kuna misimamo miwili kinzani ndani ya CDM juu ya hatua za kufanya katika utatuzi wa maswala muhimu ndani ya chama chao.
Hakuwepo kikaoni Jana au hajapata mrejesho ya yaliyojiriKatibu wa Chadema mkoa wa Mara anetoa wito huo akirejea mifano ya Nelson Mandela alivyoweza kukaa meza moja na makaburu na muafaka ukapatikana.
My Take:Inaelekea kuna misimamo miwili kinzani ndani ya CDM juu ya hatua za kufanya katika utatuzi wa maswala muhimu ndani ya chama chao.
Hili jizi na lipenda rushwa linaangaika sana kupost. Linatamani sana CHADEMA ipende wizi na rushwa kama CCMKatibu wa Chadema mkoa wa Mara anetoa wito huo akirejea mifano ya Nelson Mandela alivyoweza kukaa meza moja na makaburu na muafaka ukapatikana.
My Take:Inaelekea kuna misimamo miwili kinzani ndani ya CDM juu ya hatua za kufanya katika utatuzi wa maswala muhimu ndani ya chama chao.
Hili jizi na lipenda rushwa linaangaika sana kupost. Linatamani sana CHADEMA ipende wizi na rushwa kama CCMHeche huwa anatoa maoni binafsi au ya chama?
Mfano wako umepinda kwa mantiki hii. Nyoosha hivi ''Lissu ndio wa kukaa nao kufikia muafaka sio Heche''Katibu wa Chadema mkoa wa Mara anetoa wito huo akirejea mifano ya Nelson Mandela alivyoweza kukaa meza moja na makaburu na muafaka ukapatikana.
Hakuna misimamo tofauti, japo hili ndio linatafutwa litokee. Maoni yanguMy Take:Inaelekea kuna misimamo miwili kinzani ndani ya CDM juu ya hatua za kufanya katika utatuzi wa maswala muhimu ndani ya chama chao.
Mnakataa ushauri wa katibu wenu tena kutoka mkoa wa makamu mwenyekiti?Mfano wako umepinda kwa mantiki hii. Nyoosha hivi ''Lissu ndio wa kukaa nao kufikia muafaka sio Heche''
Hakuna misimamo tofauti, japo hili ndio linatafutwa litokee. Maoni yangu
Hili jizi na lipenda rushwa linaangaika sana kupost. Linatamani sana CHADEMA ipende wizi na rushwa kama CCMMnakataa ushauri wa katibu wenu tena kutoka mkoa wa makamu mwenyekiti?