figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Muulize heche si yupo humu? Swali nimekuuliza, kasema anapingana na chama?Heche huwa anatoa maoni binafsi au ya chama?
Muulize heche si yupo humu? Swali nimekuuliza, kasema anapingana na chama?Heche huwa anatoa maoni binafsi au ya chama?
Machoko mmeshindwa kumtaja jina huyo ***** mwenzenu mnapuyanga kuthibitisha upigwa miti wenuhumjui katibu wenu?
Wapigwa miti mtahangaika sanaMnakataa ushauri wa katibu wenu tena kutoka mkoa wa makamu mwenyekiti?
Huyo matako amefikiwa na hela ya Abdul.Katibu wa Chadema mkoa wa Mara anetoa wito huo akirejea mifano ya Nelson Mandela alivyoweza kukaa meza moja na makaburu na muafaka ukapatikana.
My Take:Inaelekea kuna misimamo miwili kinzani ndani ya CDM juu ya hatua za kufanya katika utatuzi wa maswala muhimu ndani ya chama chao.
Heche ne genge lake wanataka kumtoa Lissu kafara ili kupata political mileage.Katibu wa Chadema mkoa wa Mara anetoa wito huo akirejea mifano ya Nelson Mandela alivyoweza kukaa meza moja na makaburu na muafaka ukapatikana.
My Take:Inaelekea kuna misimamo miwili kinzani ndani ya CDM juu ya hatua za kufanya katika utatuzi wa maswala muhimu ndani ya chama chao.
Wapigwa miti mtapigwa miti sanaHeche huwa anatoa maoni binafsi au ya chama?
Wapigwa miti mtapigwa miti sana
Msimamo wa kukataa maridhiano sio wa Heche, ni wa CDM kama chama na watz wote wenye akili timamu.Katibu wa Chadema mkoa wa Mara anetoa wito huo akirejea mifano ya Nelson Mandela alivyoweza kukaa meza moja na makaburu na muafaka ukapatikana.
My Take:Inaelekea kuna misimamo miwili kinzani ndani ya CDM juu ya hatua za kufanya katika utatuzi wa maswala muhimu ndani ya chama chao.
Kutoka kwa Lissu kunategemea maridhiano na si hukumu ya kesi? Literally huyo anayesema hivyo anakubali kesi ni ya kubambika ili CHADEMA wa-compromise na anona hicho kitu ni sahihi? Kama kesi ipo kihalali(not just crafted for political advantages) inawezaje kumalizwa kwa CHADEMA kukubali ku-compromise misimamo yao? Je suala hilo ni la kuamuliwa na Heche peke yake au linapaswa kuamuliwa na chama chao cha CHADEMA?Katibu wa Chadema mkoa wa Mara anetoa wito huo akirejea mifano ya Nelson Mandela alivyoweza kukaa meza moja na makaburu na muafaka ukapatikana.
My Take:Inaelekea kuna misimamo miwili kinzani ndani ya CDM juu ya hatua za kufanya katika utatuzi wa maswala muhimu ndani ya chama chao.
Maridhiano hayaangali chama bali ni wadau woteMmeanza tena project zenu jinga lao?
Nyie si mlisema mmeshinda kwa 98% na vyama vyenu shikizi vilivyoshiriki upumbavu mliouita uchaguzi kwa udhamini wenu vilisaini kuridhia matokeo na wakaenda uapisho haramu jeshini kule.
Sasa chama kisichoriki chochote hadi 2030 huko kina haja gani ya hayo maridhiano.?
Hebu nielezee nielewe maridhiano yanahusu nini jinga lao.
Maridhiano hayaangali chama bali ni wadau wote
Katika maridhiano kila mmoja atakiri alipokosea...