Katibu wa Chadema Mkoa wa Mara amuasa Heche kukaa meza ya maridhiano ili Lissu atoke

Huyo matako amefikiwa na hela ya Abdul.
 
Heche ne genge lake wanataka kumtoa Lissu kafara ili kupata political mileage.
 
Kwamba yeye ndo ana uhitaji wa kumtoa Lissu nyuma ya nondo kuliko Lissu mwenyewe?
Msimamo wa chadema mpaka sasa ni kwamba bila Lissu hakuna maridhiano, Mwenyekiti Lissu ndiye anayepaswa kukiongoza chama cha chadema kwenye meza ya maridhiano na si vinginevyo.
Kama Lissu ana kosa la uhaini watoe hukumu kuliko kulazimisha awasujudie kwenye hili kesi ya mchongo
 
Mmeanza tena project zenu jinga lao?

Nyie si mlisema mmeshinda kwa 98% na vyama vyenu shikizi vilivyoshiriki upumbavu mliouita uchaguzi kwa udhamini wenu vilisaini kuridhia matokeo na wakaenda uapisho haramu jeshini kule.

Sasa chama kisichoriki chochote hadi 2030 huko kina haja gani ya hayo maridhiano.?

Hebu nielezee nielewe maridhiano yanahusu nini jinga lao.
 
Msimamo wa kukataa maridhiano sio wa Heche, ni wa CDM kama chama na watz wote wenye akili timamu.

Lissu ndio kabisa hataki kusikia neno maridhiano na ma-boko haramu.
 
Kutoka kwa Lissu kunategemea maridhiano na si hukumu ya kesi? Literally huyo anayesema hivyo anakubali kesi ni ya kubambika ili CHADEMA wa-compromise na anona hicho kitu ni sahihi? Kama kesi ipo kihalali(not just crafted for political advantages) inawezaje kumalizwa kwa CHADEMA kukubali ku-compromise misimamo yao? Je suala hilo ni la kuamuliwa na Heche peke yake au linapaswa kuamuliwa na chama chao cha CHADEMA?
 
Maridhiano hayaangali chama bali ni wadau wote
 
Maridhiano hayaangali chama bali ni wadau wote

Hayo maridhiano ni ya nani na nani?

Nani kamkosea mwenzie na nani kakosewa?

Aliyekosa kakiri na kuwajibika?

Na baada ya kuwajibika hatua gani zimechukuliwa?
 
Hayo maridhiano ni ya nani na nani?

Nani kamkosea mwenzie na nani kakosewa?

Aliyekosa kakiri na kuwajibika?

Na baada ya kuwajibika hatua gani zimechukuliwa?
Katika maridhiano kila mmoja atakiri alipokosea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…