PreGE2025 Katibu wa Hamasa CCM: Mnaosema bora Magufuli kuliko Samia, tunawapa onyo. Hatutawaunga mkono kwenye Uchaguzi

PreGE2025 Katibu wa Hamasa CCM: Mnaosema bora Magufuli kuliko Samia, tunawapa onyo. Hatutawaunga mkono kwenye Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
“Lakini nimesikitishwa mno na baadhi ya wabunge ambao wanaitana nyumbani kwao na watu na kusema kwa siri kuwa ni bora Rais Magufuli aliyekufa kuliko Rais Samia aliye hai hizi nazo ni kauli mbaya na tunatoa onyo” ~ Hemedi Hassan Salim, Katibu wa Hamasa Wilaya ya Kinondoni.
IMG_6856.jpeg
 
Hemedi Hassan Salim, Katibu wa Hamasa Wilaya ya Kinondoni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) amedai kuwa wapo baadhi ya Wabunge ndani ya Chama hicho wanaita Watu majumbani kwao na kuwaambia kuwa ni heri ya Rais Hayati Magufuli kuliko Rais Samia kitendo ambacho kimemfadhaisha.

Ni kweli kabisa, magufuli J.P., ni Bora sana
 
Waongee wabunge wa ccm, wa kunyooshwa wanyooshwe wapinzani...?

😁😁😁😁

Najaribu kujiuliza, hivi CCM huwa inadahiri wasomi kutoka vyuo vipi?

Mbona vijana wa ccm ndio wajinga kulikoni vijana wa upinzani?
Again… same same

Kila mmoja anakuona mwenzake Mjinga
 
Katika harakati za Machawa kupambana na hoja za Gwaji boy, wamejikuta wakiwa sehemu muhimu ya mijadala mitandaoni hasa kutokana na kujichanganya kwao kimaelezo katika harakati zao za kutetea ugali.

Huyu nae Asema ni Heri magufuli kuliko huyu wa sasa.Tuzidishe maombi , kunauwezekano wakapoteana kabisa na kuanza kutukanana hadharani.

 
Katika harakati za Machawa kupambana na hoja za Gwaji boy, wamejikuta wakiwa sehemu muhimu ya mijadala mitandaoni hasa kutokana na kujichanganya kwao kimaelezo katika harakati zao za kutetea ugali.

Huyu nae Asema ni Heri magufuli kuliko huyu wa sasa.Tuzidishe maombi , kunauwezekano wakapoteana kabisa na kuanza kutukanana hadharani
sasa episode 2 ya Gwajima ikija itakuwaje si watembea uchi hawa mahawa
 
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka,pigo takatifu.
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Mwanzo 11
BHND


Mwanzo 11​

5Ndipo Mwenyezi-Mungu akashuka chini kuuona mji huo na mnara walioujenga binadamu. 6Mwenyezi-Mungu akasema, “Tazama, watu hawa ni taifa moja na wote wana lugha moja; huu ni mwanzo tu wa yale watakayoyafanya. Lolote wanalokusudia kulifanya watafanikiwa. 7Haya, na tushuke chini na kuivuruga lugha yao ili wasielewane wao kwa wao.”
 
Back
Top Bottom