Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na chipukizi UVCCM Taifa cde. Victoria Mwanziva ateta na wanafunzi kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii

the horse

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
652
Reaction score
442
Chuo Cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (Kigamboni Dar es salaam)

Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii

Kongamano Maalum la Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii- limefanyika Chuo Cha mwalimu Nyerere Dar es Salaam ambapo Katibu Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa, Cde Victoria Mwanziva alikua mgeni rasmi na kuzungumza na Wanafunzi kuhusu matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii kwa manufaa yao na manufaa ya Taifa letu kwa ujumla

Katika hotuba yake kwa vijana wa Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere- kwenye Kongamano maalumu la " Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii" cde Victoria Mwanziva amezungumzia masuala kadhaa muhimu na yenye manufaa Kwa Wanafunzi hao

Masuala muhimu aliyozungmza kwenye kongamano hilo ni pamoja na mafunzo juu ya Fursa ya Masomo, fursa za mafunzo za ndani na nje ya nchi kupitia matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii

Lakini pia comrade Mwanziva amesisitiza Matumizi ya mitandao katika kuyasema mema ya Taifa letu kiujumla, bila kusahau kazi nzuri inayofanywa na Rais wetu Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya Tanzania na Watanzania wote.

"Ni jukumu letu kama Vijana na Wasomi kuitumia mitandao ya kijamii kuinua Taifa letu Kwa kutoa ushirikiaono wa kutosha kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan na kazi zake zote vilevile kufuatilia kazi zote zinazofanywa na Chama pamoja na Serikali". Alisema Victoria Mwanziva.

Aidha Victoria Mwanziva amesisitiza umuhimu wa kutumia mitandao ya kijamii kwa wanafunzi kama njia sahihi ya kujifunza na kupata taarifa muhimu kwa ajili ya maendeleo yao kitaaluma.

"Serikali yetu inayoongozwa na Mhe Rais " Samia Suluhu Hassan inafanya uwekezaji mkubwa kwenye TEHAMA hivyo matumizi ya internet yatakua juu sasa ni jukumu lenu kuitumia fursa hii kwenda kidigitali kujijenga na kukua kwenye uwanja wa TEHAMA"

Mwisho cde. Victoria Mwanziva amewapongeza wanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kwa kuandaa kongamono hili Muhimu lenye malengo maalumu ya kuwaelimisha wanafunzi juu ya matumizi mitandao ya kijamii.

@uvccm_tz @victoria.mwanziva @kenanikihongosi

IMG-20220327-WA0013.jpg

IMG-20220327-WA0015.jpg

IMG-20220327-WA0012.jpg

IMG-20220327-WA0014.jpg
 
Kama ameteta ni siri yao, yanakujaje kuanikwa huku
 
KATIBU WA IDARA YA UHAMASISHAJI NA CHIPUKIZI UVCCM TAIFA CDE. VICTORIA MWANZIVA ATETA NA WANAFUNZI KUHUSU MATUMIZI YA MITANDAO YA KIJAMII

Chuo Cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (Kigamboni Dar es salaam)

Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii

Kongamano Maalum la Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii- limefanyika Chuo Cha mwalimu Nyerere Dar es Salaam ambapo Katibu Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa, Cde Victoria Mwanziva alikua mgeni rasmi na kuzungumza na Wanafunzi kuhusu matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii kwa manufaa yao na manufaa ya Taifa letu kwa ujumla

Katika hotuba yake kwa vijana wa Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere- kwenye Kongamano maalumu la " Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii"cde Victoria Mwanziva amezungumzia masuala kadhaa muhimu na yenye manufaa Kwa Wanafunzi hao

Masuala muhimu aliyozungmza kwenye kongamano hilo ni pamoja na mafunzo juu ya Fursa ya Masomo, fursa za mafunzo za ndani na nje ya nchi kupitia matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii

Lakini pia comrade Mwanziva amesisitiza Matumizi ya mitandao katika kuyasema mema ya Taifa letu kiujumla, bila kusahau kazi nzuri inayofanywa na Rais wetu Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya Tanzania na Watanzania wote.

"Ni jukumu letu kama Vijana na Wasomi kuitumia mitandao ya kijamii kuinua Taifa letu Kwa kutoa ushirikiaono wa kutosha kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan na kazi zake zote vilevile kufuatilia kazi zote zinazofanywa na Chama pamoja na Serikali". Alisema Victoria Mwanziva.

Aidha Victoria Mwanziva amesisitiza umuhimu wa kutumia mitandao ya kijamii kwa wanafunzi kama njia sahihi ya kujifunza na kupata taarifa muhimu kwa ajili ya maendeleo yao kitaaluma.

"Serikali yetu inayoongozwa na Mhe Rais " Samia Suluhu Hassan inafanya uwekezaji mkubwa kwenye TEHAMA hivyo matumizi ya internet yatakua juu sasa ni jukumu lenu kuitumia fursa hii kwenda kidigitali kujijenga na kukua kwenye uwanja wa TEHAMA"

Mwisho cde. Victoria Mwanziva amewapongeza wanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kwa kuandaa kongamono hili Muhimu lenye malengo maalumu ya kuwaelimisha wanafunzi juu ya matumizi mitandao ya kijamii.
 
KATIBU WA IDARA YA UHAMASISHAJI NA CHIPUKIZI UVCCM TAIFA CDE. VICTORIA MWANZIVA ATETA NA WANAFUNZI KUHUSU MATUMIZI YA MITANDAO YA KIJAMII

Chuo Cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (Kigamboni Dar es salaam)

Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii

Kongamano Maalum la Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii- limefanyika Chuo Cha mwalimu Nyerere Dar es Salaam ambapo Katibu Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa, Cde Victoria Mwanziva alikua mgeni rasmi na kuzungumza na Wanafunzi kuhusu matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii kwa manufaa yao na manufaa ya Taifa letu kwa ujumla

Katika hotuba yake kwa vijana wa Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere- kwenye Kongamano maalumu la " Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii" Cde Victoria Mwanziva amezungumzia masuala kadhaa muhimu na yenye manufaa Kwa Wanafunzi hao

Masuala muhimu aliyozungmza kwenye kongamano hilo ni pamoja na mafunzo juu ya Fursa ya Masomo, fursa za mafunzo za ndani na nje ya nchi kupitia matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii

Lakini pia comrade Mwanziva amesisitiza Matumizi ya mitandao katika kuyasema mema ya Taifa letu kiujumla, bila kusahau kazi nzuri inayofanywa na Rais wetu Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya Tanzania na Watanzania wote.

"Ni jukumu letu kama Vijana na Wasomi kuitumia mitandao ya kijamii kuinua Taifa letu Kwa kutoa ushirikiaono wa kutosha kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan na kazi zake zote vilevile kufuatilia kazi zote zinazofanywa na Chama pamoja na Serikali". Alisema Victoria Mwanziva.

Aidha Victoria Mwanziva amesisitiza umuhimu wa kutumia mitandao ya kijamii kwa wanafunzi kama njia sahihi ya kujifunza na kupata taarifa muhimu kwa ajili ya maendeleo yao kitaaluma.

"Serikali yetu inayoongozwa na Mhe Rais " Samia Suluhu Hassan inafanya uwekezaji mkubwa kwenye TEHAMA hivyo matumizi ya internet yatakua juu sasa ni jukumu lenu kuitumia fursa hii kwenda kidigitali kujijenga na kukua kwenye uwanja wa TEHAMA"

Mwisho cde. Victoria Mwanziva amewapongeza wanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kwa kuandaa kongamono hili Muhimu lenye malengo maalumu ya kuwaelimisha wanafunzi juu ya matumizi mitandao ya kijamii.

FO3NbwRWYAQ-89A.jpg

FO3MIggXwAIv3Y2.jpg

FO3NclUXwAQGBDb.jpg
 
Dada hana mvuto wa kisiasa... Tatzo kanachukulia hiyo nafasi km ajira. Njo upambane clubhouse na maria spaces na wanachadema
 
Back
Top Bottom