TANZIA Katibu wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, ndugu Lugano Mwafongo afariki dunia


Changamoto za upumuaji
 
Ameondoka kwa Changamoto ya kupumua eeh!
Tuendelee tu kupima mapapai na oil chafu, taratibu tutaelewana.
 
Inabidi kuwa na moyo wa jiwe kutokuwa na huruma na vifo hivi ambavyo vingeweza kuzuilika.
 
CCM....Hakuna lockdown Ndiooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…