TANZIA Katibu wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, ndugu Lugano Mwafongo afariki dunia

TANZIA Katibu wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, ndugu Lugano Mwafongo afariki dunia

Katibu wa Jumuiya ya wazazi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro ndugu Lugano Mwafongo amefariki dunia muda mfupi uliopita katika hospitali ya rufaa ya KCMC mkoani Kilimanjaro alipokimbizwa kwa matibabu.

Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe!


Changamoto za upumuaji
 
Inabidi kuwa na moyo wa jiwe kutokuwa na huruma na vifo hivi ambavyo vingeweza kuzuilika.
 
TANZIA Katibu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanjaro, Lugano Mwafongo amefariki Dunia Leo Tarehe 7 Mei 2020 Katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC alikokuwa akipatiwa matibabu. View attachment 1442719

Sent using Jamii Forums mobile app
CCM....Hakuna lockdown Ndiooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Back
Top Bottom