Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Narudia tena kukwambia kwamba uelewa wako ni mdogo kiasi cha kushindwa kujua nini kinafanywa katika sekta nzima ya uchukuzi kipindi hiki cha awamu ya sita.Nikueleze tena, hapa hakuna swala la itikadi, si ujamaa wala ubepari. Unapeleka akili yako huko huku hata huna uwezo wa kuyafafanua hayo.
Hapa mnalofanya ni ujambazi na hatima ya jambazi yeyote inajulikana. Inawasubiri.
Uelewa unapokuwa mdogo haraka sana akili ya kiafrika hukimbilia yale maneno mepesi kama vile 'tunaibiwa' 'tunapigwa'. Siku zote maskini wa akili huwa anaibiwa yeye tu, hawazi kwamba pia na yeye anayo haki ya kumuibia huyu anayemuona ni mwizi wa mali zake!, pathetic mindset.