Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Unavyoandika kwa kirefu unakuwa unaanika utupu wako wa kichwani. Elewa tofauti ya kupangisha na kuuza."....landlord Port..."; vimaneno vya kipuuzi hivi. Huyo Samia anasikiliza watu matapeli, majizi, na kusahau kwamba nchi hii tunao watu wenye uwezo wa kufanya kazi ile kwa ufanisi kabisa.
Msukumo wenu hapa ni ufisadi tu, hakuna zaidi ya hilo.
Hii bandari moja tu nchi nzima ya watu milioni zaidi ya 60 inashindikana vipi kuiendesha kwa ufanisi. Miaka yote hii baada ya uhuru, bado watu wenye akili za kitegemezi na kitapeli kama nyinyi, bado mnaona haiwezekani nchi kuiendesha bandari yake kwa ufanisi?
Mbaya zaidi, badala ya kufanya jitihada za kujijengea uwezo, mnakwenda kuuza mali ya waTanzania moja kwa moja? Huu ni uongozi wa kijinga namna gani huu? Samia kaweka rekodi mbaya sana ambayo haitafikiwa na kiongozi mwingine yeyote. Tena ashukuru sana kama ataachwa aondoke bila kuwekwa hatiani kwa utapeli wa namna hii anaoushiriki hapa.
TICTS alikaa pale TPA miaka 22 na ameshaondoka, bandari yetu tuliiuza?.
Mnakuja na maneno ambayo mkiyatumia mnajua mtateka hisia za wajinga wenzenu, eti bandari imeuzwa!. Stupid mindset.