Katibu wa TEC: Maaskofu wanahitaji kuisoma mikataba iliyosainiwa, walipoitwa hawakuambiwa kulikuwa na nini

Waambie maaskofu wetu wapendwa kazi ya mikataba ya serikali kuna wahusika sio kila mtu ausome mkataba.
Wao washighulikue mambo ya dini yao kujenga jamii yenye tabia njema na upendo.
DP world wako kazini, utapeli umepatiwa dawa na TEC haeapendi hilo
 
Ucheleweshaji katika ushushaji wa makasha, urasimu unaotengenezwa na watendaji wetu ili wapate chochote baada ya kufikiria kwamba nchi wanaipotezea wateja.

DP World watamchukia sana wajinga wachache wanaoendekeza njaa bila ya kujali efficiency nzima ya TPA
Ukiulizwa kwa nini Samia hawezi kuwashughulikia hao "wacheleweshaji", badala ya kwenda kunadisha mali asili kwa wageni huna jibu. Lakini mimi ninakwambia hawezi kufanya hivyo kwa sababu anayo maslahi na hao wageni.
Hataki kujenga uwezo wa ndani, yeye anachojua ni kwenda nje , na wakati huo huo wala ajiandai kwa vyovyote kuhakikisha kwamba hao anaokwenda kuwatafuta waje hapa, mazingira yatakuwepo ya kuhakikisha kazi zao zinafanyika kwa maslahi ya nchi.

Lakini najua yote haya ninayo andika ni sawa swa na kumpigia "mbuzi gitaa"; yaani wewe hapo ni mbuzi; kwa maana huwezi kuelewa lolote nje ya DP World.
 
Akili mgando ndio hizi za kwako. Uingereza wamemkabidhi bandari huyu DP World, wao wanamtoza kodi tu, wanataka waone ongezeko la kodi kwenye bajeti yao.

Belgium hali kadhalika wamemkabidhi bandari, kuna vigezo wamempa wanataka wavione kwenye uchumi mkuu.

India ambako tunawapelekea miili yetu tunapougua na wao wamemkabidhi bandari yao.

Tanzania tunaweza kulinganishwa na nchi gani kati ya hizo tatu?, punguzeni kuyakariri maisha yale yale ya miaka ya nyuma hii dunia haina msalie mtumie hata kidogo.

Mnajifanya mna uchungu sana na mali ya nchi wakati dunia imejaa kila aina ya mabadiliko ya kiteknolojia. Sina maslahi yoyote na mgeni yoyote, ukweli ni kwamba sipendi kuona TPA ikikimbiwa na wateja kila kukicha na tija yake kwenye uchumi mkuu ikiendelea kushuka.
 
Nje ya ufisadi na utapeli unaoihusu IGA ya DP World, wewe huna jingine lolote la ziada katika maswala haya ya bandari.

Mabandiko yako yoooote humu JF tokea uingie ni swala la DP World pekee na IGA yake.

Huna uhusiano wowote na ufanisi unaofanywa na bandari zetu, ingawa sasa unatumia kinga hiyo kujificha kwenye kichaka cha haya unayoyapigania.
Nimeongelea sana bandari yetu kukimbiwa na wateja wanaokwenda kutoa mizigo yao kupitia bandari nyingine na sababu ni miundo mbinu kuzidiwa na wingi wa mzigo. Na hiyo ni hali ambayo mafisadi kila siku wanaipigia makofi wakiomba kimoyomoyo iendelee kuwepo.

Ufanisi pale TPA utakwenda kugusa mpaka bei za bidhaa huku mitaani na ufanisi utaweza kwenda sambamba na volume itakayokuwa ikihudumiwa na TPA kila siku. Njia zile zile za kizamani za kushughulika na bandari haziwezi kutuongezea tija ya jumla ya ushushaji na upakiaji wa makasha.

Miaka ya nyuma nilifanya kazi ya kusafirisha makontena ya copper concentrates and gold ore ambayo iliitwa kwa jina maarufu Michanga ya dhahabu kuipeleka China na Japan, alipoingia JPM ikulu akasimamisha biashara hiyo. Nilianzia kazi kule Tanga nikaja Dar.

Haya masuala ninayafahamu kwa kina na nina uchungu wa kutaka kuiona TPA ikilingana kwa tija na bandari nyingi za ukanda huu.
 
Akili mgando ndio hizi za kwako. Uingereza wamemkabidhi bandari huyu DP World, wao wanamtoza kodi tu, wanataka waone ongezeko la kodi kwenye bajeti yao.

Belgium hali kadhalika wamemkabidhi bandari, kuna vigezo wamempa wanataka wavione kwenye uchumi mkuu.

India ambako tunawapelekea miili yetu tunapougua na wao wamemkabidhi bandari yao.

Tanzania tunaweza kulinganishwa na nchi gani kati ya hizo tatu?, punguzeni kuyakariri maisha yale yale ya miaka ya nyuma hii dunia haina msalie mtumie hata kidogo.

Mnajifanya mna uchungu sana na mali ya nchi wakati dunia imejaa kila aina ya mabadiliko ya kiteknolojia. Sina maslahi yoyote na mgeni yoyote, ukweli ni kwamba sipendi kuona TPA ikikimbiwa na wateja kila kukicha na tija yake kwenye uchumi mkuu ikiendelea kushuka.
Unarudia yaleyale ya kijinga na mimi nitakukumbusha vile vile kama kawaida, kwamba hujui makubaliano waliyoingia hao wote na huyo DP World wako.

Hapa kwetu kakutana na vilaza, mafisadi kama nyinyi, kawaingiza chooni.
Kwa hiyo achana na hiyo mifano yote unayoileta hapa. Ni ujinga.

La sivyo, tuweke mfano wa mkataba mmoja walioingia na nchi hizo nyingine.
Unaendelea tu kuonyesha ukosefu wa upeo.
 
Nimeongelea sana bandari yetu kukimbiwa na wateja wanaokwenda kutoa mizigo yao kupitia bandari nyingine na sababu ni miundo mbinu kuzidiwa na wingi wa mzigo. Na hiyo ni hali ambayo mafisadi kila siku wanaipigia makofi wakiomba kimoyomoyo iendelee kuwepo.
Hawa mafisadi wanalelewa na nani kama siyo mafisadi wenzao waliomo serikalini na watu kama wewe na Samia?
Mnatumia sababu mbovu kabisa kuhalalisha utapeli wenu wa kugawa bure mali zetu.
Miaka ya nyuma nilifanya kazi ya kusafirisha makontena ya copper concentrates and gold ore ambayo iliitwa kwa jina maarufu Michanga ya dhahabu kuipeleka China na Japan, alipoingia JPM ikulu akasimamisha biashara hiyo. Nilianzia kazi kule Tanga nikaja Dar.
Hapa sasa ukitaka kujadili kwa uungwana kwenye hili tutajadili vizuri sana hata kama hatukubaliani.
Ninachokataa ni wewe kukomalia huyo DP World na mikataba mibovu.
Inaonyesha wazi baada ya hiyo kazi yako kukwama, sasa umejiingiza kwenye uovu huu wa utapeli na ufisadi dhidi ya nchi yako kwa kushirikiana na waarabu.
Hapa sasa ndipo nakuelewa vizuri zaidi. Kwa hiyo ninakuomba, weka hayo maslahi yako binafsi pembeni, tuongelee maslahi ya nchi yetu, hata bila DP World.
 
Unarudia yaleyale ya kijinga na mimi nitakukumbusha vile vile kama kawaida, kwamba hujui makubaliano waliyoingia hao wote na huyo DP World wako.

Hapa kwetu kakutana na vilaza, mafisadi kama nyinyi, kawaingiza chooni.
Kwa hiyo achana na hiyo mifano yote unayoileta hapa. Ni ujinga.

La sivyo, tuweke mfano wa mkataba mmoja walioingia na nchi hizo nyingine.
Unaendelea tu kuonyesha ukosefu wa upeo.
Mkataba walioingia hapa ni mzuri sana kama walivyosaini huko kwingine, tatizo letu ni ujuaji na ligi za kijinga kwenye mambo tusiyo na ufahamu nayo.

Mkataba huu huu mnaoupinga ndio unakwenda kutumika kwa miaka 30, hamjioni mlivyo wajinga?.
 
Katibu wa TEC Padre Dr. Kitima amesema Maaskofu wanahitaji kuusoma mkataba, walikuwepo watatu na walipoitwa hawakuambiwa kuna nini ila walichosikia ni kuwa Maoni ya Wananchi yamezingatiwa.

Maaskofu walikuwa wanawasemea Wananchi na "Walichosikia" maoni ya Wananchi yamezingatiwa, amesema.

Naye Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema muda ukifika mkataba utapelekwa kwenye Kamati ya Bunge.

View attachment 2794455
Barua ya mwaliko
Wahuni wakipewa madaraka hupeka mambo kihuni huni
 
Hawa mafisadi wanalelewa na nani kama siyo mafisadi wenzao waliomo serikalini na watu kama wewe na Samia?
Mnatumia sababu mbovu kabisa kuhalalisha utapeli wenu wa kugawa bure mali zetu.
Hapa sasa ukitaka kujadili kwa uungwana kwenye hili tutajadili vizuri sana hata kama hatukubaliani.
Ninachokataa ni wewe kukomalia huyo DP World na mikataba mibovu.
Inaonyesha wazi baada ya hiyo kazi yako kukwama, sasa umejiingiza kwenye uovu huu wa utapeli na ufisadi dhidi ya nchi yako kwa kushirikiana na waarabu.
Hapa sasa ndipo nakuelewa vizuri zaidi. Kwa hiyo ninakuomba, weka hayo maslahi yako binafsi pembeni, tuongelee maslahi ya nchi yetu, hata bila DP World. Bandari yetu licha ya pesa nyingi kutumika katika kukarabati bado lipo tatizo la urasimu na wizi mwingi wa makusudi wa baadhi ya wafanyakazi wanaoshirikiana na mafisadi wa nje.
Bandari yetu imesumbuliwa na ufisadi kila kona, kuletwa DP World mwenye ufanisi mzima wa kisasa ni kumaliza kabisa hilo tatizo.

Sio ajabu kuona makampuni yanayoendeshwa kwa ufisadi pale bandarini yakipiga makelele mengi kumpinga mwendeshaji mpya. Na huyo sio wa mwisho kuna mwingine anakuja wa magati namba nane mpaka kumi na moja na mwingine Bagamoyo na Tanga.

Usidhani kuwa Rais Samia anawapenda sana hawa waarabu kwa sababu ya rangi zao, anaufahamu kwa kina ufanisi wa kampuni yao huko wanapopewa kazi unakuwa ni wa kiwango gani.

Tumepoteza wateja wengi miaka hii mitano ya karibuni kwa sababu tu ya kuendekeza siasa za kujuana zile za kimazoea, sasa mwisho wao ndio umewadia.
 
Jambo unalotakiwa kulitambua, na ambalo nadhani linakuchanganya sana wewe ni kutoweza kutofautisha kati ya uwekezaji wenye tija, bila kujali ni DP World kama unavyong'ang'ania wewe na Samiia kwa sababu zenu mnazozifahamu wenyewe na uwekezaji unaotumia mikataba inayotuumiza sisi kama taifa.
Hili jambo unalikwepa kwa maksudi kabisa, na Samia hawezi kuondokana nalo kwa sababu limemtia jela.

Ukiachana na huu upofu unaojipa mwenyewe kwa maksudi, hayo mengine tutajadiliana vizuri tu.

Kwanza achana na utapeli/ufisadi kupitia huyo DP World wenu.
 
Mkataba walioingia hapa ni mzuri sana kama walivyosaini huko kwingine, tatizo letu ni ujuaji na ligi za kijinga kwenye mambo tusiyo na ufahamu nayo.
Huu ndio upumbavu unaokutofautisha wewe na watu wengine wenye kujali maslahi ya nchi yetu.
Hili kama nilivyokwisha kueleza mara kadhaa, litawatokea puani. Jifurahisheni kwa sasa.
 
Haya masuala ninayafahamu kwa kina na nina uchungu wa kutaka kuiona TPA ikilingana kwa tija na bandari nyingi za ukanda huu.
Huna uchungu wowote wewe. Mtu mwenye kuwa na uchungu na maslahi ya nchi yake kamwe hawezi kufurahia uhujumu ule unaoonyeshwa kwenye IGA ya DP World.
Ni mafisadi tu aina yako na Samia pekee mnaoweza kuyafurahia yale.

Halafu unakuja hapa na kujigamba juu ya usiri mnayoyafanya gizani!
 
Unapozidi kuandika unajianika kichwani kwako ni patupu kiasi gani.
 
Huu ndio upumbavu unaokutofautisha wewe na watu wengine wenye kujali maslahi ya nchi yetu.
Hili kama nilivyokwisha kueleza mara kadhaa, litawatokea puani. Jifurahisheni kwa sasa.
Ndani ya miezi michache bandari yetu itakuwa ni moja ya zile ambazo kushusha na kupakia mzigo melini ni suala la chapchap, tija ya maana sana inakwenda kuongezeka.

Kwa maumivu haya uliyonayo ni heri tu ukajinyonge.
 
Jambo unalotakiwa kulitambua, na ambalo nadhani linakuchanganya sana wewe ni kutoweza kutofautisha kati ya uwekezaji wenye tija, bila kujali ni DP World kama unavyong'ang'ania wewe na Samiia kwa sababu zenu mnazozifahamu wenyewe na uwekezaji unaotumia mikataba inayotuumiza sisi kama taifa.
Hili jambo unalikwepa kwa maksudi kabisa, na Samia hawezi kuondokana nalo kwa sababu limemtia jela.

Ukiachana na huu upofu unaojipa mwenyewe kwa maksudi, hayo mengine tutajadiliana vizuri tu.

Kwanza achana na utapeli/ufisadi kupitia huyo DP World wenu.
Hakuna mkataba unaotuumiza kama ulielewa alichokisema meneja wa TPA Mkuu Mbossa pale ikulu jumapili iliyopita.

Kila kitu kimeanikwa wazi, sisi tutapata nini na mwendeshaji atapata nini. Sisi pia sio wageni kwenye majadiliano ya aina hii ya biashara, alikuwepo TICTS miaka 22 pale TPA na ameondoka na kila kitu kinaenda salama.
 
Ndani ya miezi michache bandari yetu itakuwa ni moja ya zile ambazo kushusha na kupakia mzigo melini ni suala la chapchap, tija ya maana sana inakwenda kuongezeka.

Kwa maumivu haya uliyonayo ni heri tu ukajinyonge.
Wakenya tayari walishalia kuhusu kupoteza mizigo inayoingia kupitia bandari ya dar er Salaam. Bandari yetu inao uwezo mzuri sana wa kufanya kazi hiyo. Matatizo tu ni matapeli wa aina yako na Samia. Lakini dawa yenu mtaipata tu.
 
Hakuna mkataba unaotuumiza kama ulielewa alichokisema meneja wa TPA Mkuu Mbossa pale ikulu jumapili iliyopita.

Kila kitu kimeanikwa wazi, sisi tutapata nini na mwendeshaji atapata nini. Sisi pia sio wageni kwenye majadiliano ya aina hii ya biashara, alikuwepo TICTS miaka 22 pale TPA na ameondoka na kila kitu kinaenda salama.
hayo nakueleza wewe unayeng'ang'ania kuwa uwepo wa DP World hapo ni matokeo ya ile IGA chafu. Nilishakwambia ile IGA ilikufa.
DP World hata wakiwepo sasa hivi watafanya kazi nje ya ile IGA, na tusiporidhika na kazi zao, na baada ya fisadi Samia kuondolewa, huyo DP World tunamtupilia mbali.
Jitahidi kidogo kuelewa ninayokueleza mara kwa mara humu humu.
Umewekeza sana kwa DP World, kwa hiyo mhimize tu, afanye kazi zake vizuri, asitegemee kuwa kuna IGA itakayomlinda kama mlivyokuwa mmepanga uhujumu wenu wa mwanzo.
 
Back
Top Bottom