Tuonyeshe ilipo IGA y aTICTS; unaandika kama huna akili kichwani?
"IGA ni kanuni tu" wakati ikihimiza na kulazimisha sheria zinazolinda mali ya nchi zibadilishwe kukidhi matakwa ya huo upuuzi waIGA yenyewe.
Siwezi kamwe kudharau elimu ya Ukraine, hasa ukilinganisha na upuuzi wetu hapa siku hizi, lakini nadharau matokeo yake kama haya uliyoyapata wewe kama kweli umesomea huko kama unavyodai hapa.
Kuna watu wanasoma shule nzuri kabisa duniani, lakini wao kama wao wanakuwa ni aibu kwa shule hizo. Nikupe mfano wa Chenge, unamfahamu?
Nani, Hamza? Elimu za namna hiyo zinawakosha watu wa aina yako, hasa inapochanganyika na msukumo wa utapeli na ufisadi.