milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Hapa kawatukana sana Wa Ethiopia kwamba hawana akili"Umeme utakaonunuliwa utakuwa na hasara, Lakini hiyo hasara haituhusu"🤔
Nchi hii kuna mambo mengine bora uwe mtazamaji.... 😄Kuna majitu mengine bora yasiwe yanaongea kabisa. Huyu Mramba kashachafua hali ya hewa.
Inasikitisha sana. Nilikua kila siku najiuliza kwa nini vitu vile vile ambavyo vinazalishwa nchi zingine zikizalishwa kwetu ni bei mbaya? Hata zile ambazo huagizi raw material. Kuzalisha umeme Ethiopia na Kuzalisha umeme Tanzania tofauti ipo wapi? Kama ni vifaa na machine wote tunanunua nje. Je wao wamezalishaje umeme bei rahisi?Wakuu,
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Felchesmi Mramba amesema uamuzi wa Tanzania kuchukua umeme Ethiopia ni kitu chenye faida na si hasara kama watu wanavyodhani.
Mramba amesema ni faida kwa kuwa baadhi ya vyanzo vya umeme hapa nchini vinazalisha uniti moja kwa bei kubwa kuliko bei ambayo umeme huo utanunuliwa kutoka Ethiopia.
"Huo umeme wa Ethiopia tunanunua kwa senti za Marekani 0.077 lakini tuna vyanzo vingi ambavyo vinazalisha kwa gharama ya juu zaidi, hivyo hii ni nafuu kwetu," amesema na kuongeza umeme utaonunuliwa Ethiopia ni Megawati 100 tu.
Amesema umeme unaopelekwa mikoa ya Kaskazini unapotea kwa kiwango cha megawati 17 ambazo zinatosha kuhudumia Mkoa wa Songwe (unaotumia Mega 14) na zaidi.
"Hata huo wetu unaokuja kutoka Ethiopia utakuwa na hasara lakini hiyo hasara haituhusu, sisi tunanunulia mpakani Namanga, lakini tukipeleka sisi (umeme) tunatumia gharama kubwa," amesema Mramba.
Ameongeza kuwa "wachumi na wataalamu wote waliofanya tathmini juu ya jambo hilo waliona ni faida kubwa kuliko hasara"
Aidha, Mramba alimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia ununuzi wa umeme huo na kuongeza kuwa ufafanuzi uliotolewa na Msemaji wa Serikali baada kuibuka kwa mjadala huo uko sahihi.
"Maelezo ya msemaji wa Serikali yako sawa, hayana dosari," amesema Mramba na kuongeza kuwa suala la mauziano ya umeme ya nchi na nchi ni la kawaida na mpaka sasa Tanzania inauza na kununua umeme kutoka mataifa tofauti zaidi ya matatu.
Source: Mwananchi
Kabisa,eti wanajivunia kuitwa wasomiMajinga sana haya majamaa
WapuuuziKabisa,eti wanajivunia kuitwa wasomi
Huu ndio uhayawani wenyewe!Ameongeza kuwa "wachumi na wataalamu wote waliofanya tathmini juu ya jambo hilo waliona ni faida kubwa kuliko hasara"
Hujui biashara wewe sasa angalia ramani ya Ethiopia kote anapakana na nani ? Kote anapakana na maadui sehemu pekee kwake kuuza umeme ni kenya kuja huku chini TanzaniaWewe ni mpumbavu na unatetea upumbavu!
.
Ethiopia ni waume zenu kwamba wakusafirishie nyie umeme wa bil. 10 kisha wauze kwa bil. 8 wale hasara ya bil. 2? Kwa vile mnawapa nini.?
Wapumbavu wakubwa nyie.
Hiyo Tanesco ni bei ya jumla ya kununulia umeme Ethiopia haina uhusiano na bei ya rejarejaHii mikoa ya Kaskazini, itaanza kujitenga na Tanzania na kuvutia wawekezaji kwenye viwanda vyao na matumizi majumbani nafuu kuliko sisi wengine wote ndani ya nchi hii?
Basi iamliwe hivi: zima vyanzo vyetu vyote vya umeme wenye bei kubwa, na sote tufaidi huo wa $0.077 toka Ethiopia; au unasemaje Bwana Mramba?
Kwa bahati mbaya sana mikoa hii mara zote imekuwa kama wao siyo sehemu ya nchi hii, kwa namna moja au nyingine; kwa nini hasa?
Sawa sawa.Hiyo Tanesco ni bei ya jumla ya kununulia umeme Ethiopia haina uhusiano na bei ya rejareja
Bei ya kuuzia umeme kwa wateja nchi nzima bei itakuwa ile ile uwe kaskazini au kusini
Hiyo hasara ina maana mzalishaji(Ethiopia) ataifidia kwenye bei atakayokuuzia wewe( Tanzania). Hakuna anayefanya biashara ya hasara. Huu ujinga wajaribu kuupangilia upya.Wakuu,
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Felchesmi Mramba amesema uamuzi wa Tanzania kuchukua umeme Ethiopia ni kitu chenye faida na si hasara kama watu wanavyodhani.
Mramba amesema ni faida kwa kuwa baadhi ya vyanzo vya umeme hapa nchini vinazalisha uniti moja kwa bei kubwa kuliko bei ambayo umeme huo utanunuliwa kutoka Ethiopia.
"Huo umeme wa Ethiopia tunanunua kwa senti za Marekani 0.077 lakini tuna vyanzo vingi ambavyo vinazalisha kwa gharama ya juu zaidi, hivyo hii ni nafuu kwetu," amesema na kuongeza umeme utaonunuliwa Ethiopia ni Megawati 100 tu.
Amesema umeme unaopelekwa mikoa ya Kaskazini unapotea kwa kiwango cha megawati 17 ambazo zinatosha kuhudumia Mkoa wa Songwe (unaotumia Mega 14) na zaidi.
"Hata huo wetu unaokuja kutoka Ethiopia utakuwa na hasara lakini hiyo hasara haituhusu, sisi tunanunulia mpakani Namanga, lakini tukipeleka sisi (umeme) tunatumia gharama kubwa," amesema Mramba.
Ameongeza kuwa "wachumi na wataalamu wote waliofanya tathmini juu ya jambo hilo waliona ni faida kubwa kuliko hasara"
Aidha, Mramba alimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia ununuzi wa umeme huo na kuongeza kuwa ufafanuzi uliotolewa na Msemaji wa Serikali baada kuibuka kwa mjadala huo uko sahihi.
"Maelezo ya msemaji wa Serikali yako sawa, hayana dosari," amesema Mramba na kuongeza kuwa suala la mauziano ya umeme ya nchi na nchi ni la kawaida na mpaka sasa Tanzania inauza na kununua umeme kutoka mataifa tofauti zaidi ya matatu.
Ndio upumbavu wanaotulisha hawa viongozi wajinga. Hasara yao wataiweka kwenye bei ya kutuuzia sisi.Sasa hiyo hasara si itawekwa kwenye bei ya umeme tutakayolipa sisi?
chawa pro , Pwani to Arusha , compare to Ethiopia to Tz , hii ni kukubali kuwa watumwa wa Kenya na Ethiopia , wakikoloma kidogo tunafyata .Walau huyu Katibu Mkuu Mramba namwelewa.
Nilitaka kuanzisha mada nzito hasa kuwa Raisi awavurumishe wataalamu wa Tanesco waende Ethiopia wakajifunze kuwa wao kwa nini kilomita zote hizo toka Ethiopia umeme haupotei njiani na kuwapa loss ila wetu kilomita nyingi unapotea na kuipa Tanesco mabilioni ya hasara
Argument ya katibu mkuu ina make sense naikubali Ruksa kanunueni kwa muono wangu huo umeme wa Ethiopia
Katibu mkuu Mramba nimekuelewa
Kesho tuna mgogoro wa kisiasa na Ethiopia tunaanza ufyata .Sidhani kama umemuelewa.
Umeambiwa hasara ipo japo haituhusu sisi. Kwa maana hiyo suala la upotevu wa umeme njiani lipo hata kwa hao Ethiopia.
Sasa kama hasara ipo kwa Ethiopia basi hakuna faida ya wataalam wa Tanesco kwenda kujifunza huko Ethiopia kama ulivyopendekeza.
Inabaki kuwa huna akiliHujui biashara wewe sasa angalia ramani ya Ethiopia kote anapakana na nani ? Kote anapakana na maadui sehemu pekee kwake kuuza umeme ni kenya kuja huku chini Tanzania
Jujui hesabu nikupe kirahisi mfano umeme anaozalisha nyanya pipa kumi anazotumia yeye pipa mbili ulitakaje sasa hizo pipa nane za nyanya zimuozee au auze hata kwa bei ya hasara kuliko kumuozea
Umeme anaozal8sha ni mwingi mno ameona heri auze kwa bei ya hasara kuliko.kutouza kabisa
Ulivyotoa mfano wa nyanya kwenye hoja ya UMEME ndo umeonyesha ujinga wako woteHujui biashara wewe sasa angalia ramani ya Ethiopia kote anapakana na nani ? Kote anapakana na maadui sehemu pekee kwake kuuza umeme ni kenya kuja huku chini Tanzania