Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,843
- 10,321
Polisi hawa wa Tanzania hata ukiwaita wanakuwa upande wa mwenye pesa so hakuna msaadaWatanzania huwa sio watu wa kuhoji hoji na wanaridhika haraka sana baada ya kupigwa sound.
Jana nilikuwa naangalia you tube ya akinadada wa Kikenya wakiwa Mwanza walikuwa wamepanda Basi la Nyehunge lile Basi likawa na hitilafu nje kidogo ya mji wa Mwanza.
Badala ya wahusika wa Basi kusema ukweli kwamba gari limeharibika wakawa wanajizungusha kwenye migahawa na sintofahamu ikaendelea mpaka wale wadada wa Kenya kwenda kulalamika na kutishia kuita Polisi ndipo Basi lingine kuletwa.
Halafu wale Wadada wakawa wanawashangaa Watanzania kwa kuvumilia USANII wakawa wanasema kama imgelikuwa ni Kenya wakenya wasingevumilia hata nusu saa.