Wewe kwanini umeacha?Hii biashara ni hatari yani ukikosea steps umekufa wewe.
Watu hawana huruma ukipoteza hata dollar 500 kupigwa chuma ni dakika Moja
Hii biashara ukijiingiza kutoka ni nguma sana once a mafia cartel always a mafia.
Ina risk sana vilevile ina pesa ya haraka sana huku impact yake kwa wale watumiaji ikiwa ni mbaya.
Aka El patitoFREE EL CHAPO AKA EL JEFE
Hivi valium ipo kwenye kundi la madawa ya kulevya kumbe 👀Cocaine, heroin,kush,valium..nk
Hizo ni sehemu ndogo sana ya biashara ya madawa ya kulevya. Zote hizo hazifikii thamani ya dawa moja tu ya kulevya ya pombe, na hii haina shida yoyote wala umafia.Cocaine, heroin,kush,valium..nk
Uhakika, kama upande wa sigara Kuna sigara flani za kihindi wanachukulia hapo Zambia zinasoko sana hapa nchini na watu wenye chain ya wateja wanapga sana pesaMbona biashara za pombe, sigara na kahawa hazina shida yoyote.
Si Ile kama ganzi?Iko humo hata morphine kama unaifahamu