AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
Biashara yenye pesa na hatar ni kuuza siraha hasa bunduki na ikifuatiwa na madawa ingawaje wahusika ni hao hao
Miaka fulani nyuma kuna muuzaji maarufu jina suma,Hii biashara ni hatari yani ukikosea steps umekufa wewe.
Watu hawana huruma ukipoteza hata dollar 500 kupigwa chuma ni dakika Moja
Hii biashara ukijiingiza kutoka ni nguma sana once a mafia cartel always a mafia.
Ina risk sana vilevile ina pesa ya haraka sana huku impact yake kwa wale watumiaji ikiwa ni mbaya.
Hii biashara nimeivulia KoffiaMiaka fulani nyuma kuna muuzaji maarufu jina suma,
Mtoto wa kko alikuwa anapewa mizigo na mapaka
Ilisemekana aliwadhuluku wapk sana
Jamaa kuna siku yuko kwenye range jirani tu na kwa mkuu wa mkoa watu walikuwa kwenye bike ya maana jamaa akiwa foleni alipigwa nyingi za kichwa jamaa wakapotea
Ova
Umafia sana,maana mtu anakupa mzigo wa mamilion uuze hakuna maandikishano na wewe ukatayepigwa utaenda lalamika wapi 😄 lazima watakuumiza tuHii biashara nimeivulia Koffia
Ukiona biashara au deal wanakukamata nalo harafu Serikali haitaki kukuachia kwa dhamana na vitu walivyokukamata navyo sijui vikapimwe kwa Mkemia hiyo ni hatari..unaweza kukwepa kodi wazee kabaki na mali na wewe upo nje unapambana sio madawa,ndovu au kuvusha madini kwa magendo hizo deal kama hauna hela au roho mgumu usifanye na pia ukiwa na bahati mbaya hakimu anatoa hukumu iwe mfano kwa wengine sijui kama hicho kipengele kipo kwenye sheria.Hio ya pembe za ndovi haina uhatari wowote
Mexico kuna yule El menchoGuzman
Mkuu hiyo sio biashara ni deal haramu nashangaa hata Serikali wanaitangaza kama biashara wanakosea hakuna biashara ya mtu kubaki Pakistan au Brazil..Umafia sana,maana mtu anakupa mzigo wa mamilion uuze hakuna maandikishano na wewe ukatayepigwa utaenda lalamika wapi 😄 lazima watakuumiza tu
Dunia kote wafanyabiashara hawa kitu kikubwa ni trust
Ilifika hatua hii biashara ili uletewe mzigo umpeleke jamaa yako au ndugu akakae bondi huko Pakistan au Iran ukiuza huku ukiwakamilishia hela yao wanamuachia jamaa yako huko ,sasa kuna kesi nyingi wabongo wako bondi huko
Waliyotumiwa mizigo hawajapeleka hela ndugu jamaa zao hko cha moto wanakiona 😄
Hii biashara haramu haswaaa
Ova
Watanzania wanapenda hizo mazee si unajua wakosaji wana kila sababu ya kumpa kesi yeyote ile ndio furaha yao huyo jamaa lazima atakua msaka nyoka au mchimba chumvi..Acha kufanya assumption mkuu
Yah ni deal wengi wana rohoMkuu hiyo sio biashara ni deal haramu nashangaa hata Serikali wanaitangaza kama biashara wanakosea hakuna biashara ya mtu kubaki Pakistan au Brazil..
🤣🤣🤣 Hatari sana aiseeUkiona biashara au deal wanakukamata nalo harafu Serikali haitaki kukuachia kwa dhamana na vitu walivyokukamata navyo sijui vikapimwe kwa Mkemia hiyo ni hatari..unaweza kukwepa kodi wazee kabaki na mali na wewe upo nje unapambana sio madawa,ndovu au kuvusha madini kwa magendo hizo deal kama hauna hela au roho mgumu usifanye na pia ukiwa na bahati mbaya hakimu anatoa hukumu iwe mfano kwa wengine sijui kama hicho kipengele kipo kwenye sheria.
Wadaslm na watanga hao hasa Temeke na TA hawana kazi ingine ya kufanya zaidi ya hiyo magari unayaona yanakuja ni kwa ajili ya kubadilishana na mizigo yao wapo radhi wauze gari kwa bei ya SA..Yah ni deal wengi wana roho
Katili sana,just imagine mzazi ndiyo mishe yake lakini mtoto wake wa kumzaa anamfanya punda asafirishe mzigo
Ova
S.mchp alikuwa na mdg wake miaka ya nyuma kila tukiwasiliana anakuambia yuko Peru mara Ecuador mara brazil 😄 ni H.M sasaMkuu hiyo sio biashara ni deal haramu nashangaa hata Serikali wanaitangaza kama biashara wanakosea hakuna biashara ya mtu kubaki Pakistan au Brazil..
Ikishageuka kuwa hela wao wanaona sio ya moto tena inateketea kwa haraka kama kauza mahindi vile wapo radhi wasafirishe pisi kutoka Morogoro na ifate mtu Spain kuliwa tu na kurudi na mabegi ya zawadi..Kiufupi hela yake ni ya moto
Ht hz yrd nying za mapak ni money laundry tuWadaslm na watanga hao hasa Temeke na TA hawana kazi ingine ya kufanya zaidi ya hiyo magari unayaona yanakuja ni kwa ajili ya kubadilishana na mizigo yao wapo radhi wauze gari kwa bei ya SA..