Katika biashara mbaya zaidi duniani ni ya madawa ya kulevya. Haitaki utani kabisa

Katika biashara mbaya zaidi duniani ni ya madawa ya kulevya. Haitaki utani kabisa

S.mchp alikuwa na mdg wake miaka ya nyuma kila tukiwasiliana anakuambia yuko Peru mara Ecuador mara brazil 😄 ni H.M sasa
Sijuwi naye yupo hai au laaa

Ova
Yupo SA sasa hivi hizo mambo zimekua ngumu alikua busy na magari kupeleka Zambia alifanya vizuri sana hiyo kazi ukipata hela yake inarudi huko kuna mwamba alikua wa moto miaka ya nyuma nilimkuta kakwama Lusaka yupo na Benzi mafuta hana mpaka kufika Tunduma nilimtoa pale nikasema hawa hizi kazi zao sio kabisa mtu alikua na usd zaidi ya 1m leo hana mafuta ya kufika Tanzania na naamini alikua anapeleka gari aanze upya mwana mmoja wa Cape Stad.
 
Ikishageuka kuwa hela wao wanaona sio ya moto tena inateketea kwa haraka kama kauza mahindi vile wapo radhi wasafirishe pisi kutoka Morogoro na ifate mtu Spain kuliwa tu na kurudi na mabegi ya zawadi..
Si umemuona yule influencer Nigeria juzi kakamatwa kg za cocaine za kutosha 😄
Alafu oh mm influencer anatamba na magari ya kifahari +daily kuonesha life style yake mtandaoni
Kumbe watu wana kazi zao pembeni 😄

Ova
 
Umafia sana,maana mtu anakupa mzigo wa mamilion uuze hakuna maandikishano na wewe ukatayepigwa utaenda lalamika wapi 😄 lazima watakuumiza tu
Dunia kote wafanyabiashara hawa kitu kikubwa ni trust

Ilifika hatua hii biashara ili uletewe mzigo umpeleke jamaa yako au ndugu akakae bondi huko Pakistan au Iran ukiuza huku ukiwakamilishia hela yao wanamuachia jamaa yako huko ,sasa kuna kesi nyingi wabongo wako bondi huko
Waliyotumiwa mizigo hawajapeleka hela ndugu jamaa zao hko cha moto wanakiona 😄
Hii biashara haramu haswaaa

Ova
Hahaha uko na details za kutosha vile hii biznez inaoparati.

Kupigwa chuma ni kama kutema mate chini..
 
Hii biashara ni hatari yani ukikosea steps umekufa wewe.

Watu hawana huruma ukipoteza hata dollar 500 kupigwa chuma ni dakika Moja

Hii biashara ukijiingiza kutoka ni nguma sana once a mafia cartel always a mafia.

Ina risk sana vilevile ina pesa ya haraka sana huku impact yake kwa wale watumiaji ikiwa ni mbaya.
Ile ni kama freemason ukiingia kutoka ni kifo ndo kinakuokoa hapo
 
Mimi nilikua nafanya kazi Marine na wana watatu walivyopata mtaji wote wakaenda huko wakirudi wana usd zaidi ya 1m kwenye maboxi wananicheka na kusema uwoga waka ndio umasikini wako mara ya mwisho nilimchukua mwanangu mmoja tukaenda Water Front kwenye mawe karibu na bahari sisahau maana ndio ilikua mara ya mwisho kuwa nae alishika sana hiyo biashara nikamsihi arudi bongo afanye kitu ambacho kitakua sawa ikiwezekana aanze kuacha hiyo deal wahuni wakanibatiza jina la Petro Mtakatifu ikabidi niache tukikutana ni story na kwenda kuvunja Long street..
Baadae walienda China kwa wakati tofauti wote walikula kamba mmoja tulisoma wote Meta Sekondari alikua Mpole sana mwamba na huyo wote wawili waliacha familia bora zinazowapenda balaa hiyo sio kazi za kufanya kwa kuishi kwangu Nje nimeona watu wengi wamepotea balaa..
 
Mimi nilikua nafanya kazi Marine na wana watatu walivyopata mtaji wote wakaenda huko wakirudi wana usd zaidi ya 1m kwenye maboxi wananicheka na kusema uwoga waka ndio umasikini wako mara ya mwisho nilimchukua mwanangu mmoja alishuka sana hiyo biashara nikamsihi arudi bongo afanye kitu ambacho kitakua sawa ikiwezekana aanze kuacha hiyo deal wahuni wakanibatiza jina la Petro Mtakatifu ikabidi niache tukikutana ni story na kwenda kuvunja Long street..
Baadae walienda China kwa wakati tofauti wote walikula kamba mmoja tulisoma wote Meta Sekondari alikua Mpole sana mwamba na huyo wote wawili waliacha familia bora zinazowapenda balaa hiyo sio kazi za kufanya kwa kuishi kwangu Nje nimeona watu wengi wamepotea balaa..
Easy come easy Go
 
Sasa hivi ukiweza nunua hata trekta MF utauza huko magari wahuni wameingilia kati sio biashara tena labda ukauze Nairobi na uwe na mtu bila hivyo manyang'au yatakimbia na gari..
Mambo hayo nliacha kitambo sana huko kila ukipeleka wazo wanafikiria kukuibia kukupora wtz wenzako tena
First naingia kaburu napeleka mawe ya Vito kn mbongo mmj smbdy Adam---- ramani yangu alikuwa anaijuwa siku napokelewa na kuporwa juu,kuna kaburu mmoja nlimjuwa tokea tz alikujaga kuwa mkuregenz sea cliff dmbdy stander akaniambia nlikuambia ukifika njooo direct kwangu 😄 mm kwanza nlitaka kuosha kwa wana ,any way poa

Ova
 
Back
Top Bottom