Katika biashara mbaya zaidi duniani ni ya madawa ya kulevya. Haitaki utani kabisa

Hii ni real issue
Upo mwaka nilienda Hong Kong kusoma gap maana watu wengi walikua wanafata simu na magari pale daah wabongo si wakawa wanashukia pale ili waingie China wadogo walikua wanadakwa hao balaa kifungo chao ni maisha jela au zaidi ya 15 yrs kama sio mbebaji hautaona wanahangaika na wewe sehemu zote ila ukijaribu tu unao wadogo wamenasa hapo balaa..
 
Noma sana *****
 
Wengi wamekula nyundo huko sasa bora ukamatiwe hongkong syo mainland
Mainland utapotea kabisa
Yule padri huko kajitahidi sana kuwapigania
Ila watu wabishi utaona wengine wanapeleka mzigo Indonesia au malaysia huko ni kunyongwa tu

Ova
 
Hong Kong wanadundisha balaa maana ilikua sehemu rahisi ya kuingilia Mainland kwa kupata visa pale siku hoyi hiyo ukifika ila baada ya wazee wa dawa kuharibu inabidi utoke na visa huku huku na usipitie pale wanakurudisha wale Waingereza..
 
Wachina wajanja sana ukifata bidhaa kama CAT boot au simple laba zikiandikwa made in Vietnam wao wanakwambia subiri wafanye order store kumbe wanaagiza mali ya kufa huko Vietnam ukiwa mjanja baadae fata huko huko Vietnam kutokea Tanzania ukutane na bei nzuri..
 
Dada zetu ndy wamejaa hko
Majela mabwana zao naija
Wamewaingiza sana mkenge

Ova
 
Dada zetu ndy wamejaa hko
Majela mabwana zao naija
Wamewaingiza sana mkenge

Ova
Hata Watanzania wamewapeleka huko niliacha kwenda hapo kila chuma unayoshuka ina mtu wa kukamatwa uzuri Hong Kong ukishuka kuna mtu anakupeleleza kila hatua mpaka unarudi kama wana mashaka na wewe ndio maana wanaobeba wanawadaka kirahisi..
 
Wachina wajanja sana ukifata bidhaa kama CAT boot au simple laba zikiandikwa made in Vietnam wao wanakwambia subiri wafanye order store kumbe wanaagiza mali ya kufa huko Vietnam ukiwa mjanja baadae fata huko huko Vietnam kutokea Tanzania ukutane na bei nzuri..
Mkuu sijakuelewa kwamba bidhaa huko Vietnam ni bei rahisi kuliko china?
 
Dah! Nimemkumbuka jamaa alikuwa na familia na mishe za babershop mapipa miaka kadhaa ya nyuma. Basi akaingia tamaa ndugu yake mmoja mtu wa mishe hizo akamchukua akaenda kumuweka rehani Pakistan. Jamaa kuja na mzigo Bongo akaingia.

Yule ndugu aliyewekwa rehani sijawahi kusikia tena habari zake. Mara ya mwisho wale Wapakistani walimrecord kabisa akiwa anaomba msaada.
 
Back
Top Bottom