Show zile magari,motivation spika ohh yeye ndy anafanya kazi sana ana make millions kumbe nyuma pazia watu wana biashara zao 😄Dah jamaa alikua na hela balaa
Hii nzuri🤔Umafia sana,maana mtu anakupa mzigo wa mamilion uuze hakuna maandikishano na wewe ukatayepigwa utaenda lalamika wapi 😄 lazima watakuumiza tu
Dunia kote wafanyabiashara hawa kitu kikubwa ni trust
Ilifika hatua hii biashara ili uletewe mzigo umpeleke jamaa yako au ndugu akakae bondi huko Pakistan au Iran ukiuza huku ukiwakamilishia hela yao wanamuachia jamaa yako huko ,sasa kuna kesi nyingi wabongo wako bondi huko
Waliyotumiwa mizigo hawajapeleka hela ndugu jamaa zao hko cha moto wanakiona 😄
Hii biashara haramu haswaaa
Ova
😄 basi we inbdi mtu akawe na ww kimachale!Hii nzuri🤔
Unampeleka ex wako akakae kwanza kule🤣
Pesa ni mwanaharamu watu wako tayari kumeza uchafu wa mwingine🙆🏽♀️😄 basi we inbdi mtu akawe na ww kimachale!
Ngoja nkupe kisa kimoja,kuna jamaa alikuwa anakaa sinza miaka mingi lkn imepita jamaa alikuwa na vijisenti mpk alikuwa na kighorofa huko sema alikuwa mtu kazi hizo
Sasa kuna punda alimtuma yule punda alikuwa anatokea Brazil na kushuka port ya dar ilikuwa ngumu
Yule punda alishukia malawi
Fresh salama,mara nyingi issue kama hizo zikitokea kuna watu hupewa kazi ya kwenda kufaulisha kama alimeza akishuka anaunya mzigo anakuja mtu mwingine anaumeza anakuja nao(hao hit wa viongwe)
Sasa yule tajiri alikuwa anaitwa h.dmka akaona hataa ntaenda mwenyewe
Huko kumeza mzigo nije nao bongo,kwenda kule akaumeza kumbe kuna kete zikafunguka mzigo ukiwa tumboni,jamaa safarini hali ikawa mbaya taarifa jamaa zake na mke wake wakapata
Alipofika hali yk ilizidi kuwa mbaya mpk mauti yakamkuta,just imagine mke na jamaa ilibd wampeleke jamaa chocho hospital mshenz kumfanyia upasuaji watoe mzigo 😄
Siri ika leak,wazee wakapata info dr,sjui mke walidakwa
Hyo siku ya mazishi yenyewe
Makaburini walijaa kitengo kibao kuna watu walikuwa wanalengwa nao...hapo makaburini si mbio watu kukanyagana 😄 mbio hizo
Just imagine mtu anameza anaunya mzigo anakuja mwingine anausafisha naye anaumeza aendelee na safari
Ova
Hii ya Lugumi haina hatari maana yeye anafanya biashara na mfumo rasmi kwa hiyo ni biashara halali kabisaNadhani hapa lugumi ndo yupo
Hapo kwenye kujionyesha, ndo wanakamatika wengi angalia tu hapa bongo, Kuna demu juzi alisema followers wa mitandaoni asilimia kubwa Kwa bongo hapa hela hamna labda uwe na kazi ya pembeni, ndo nimemuelewaShow zile magari,motivation spika ohh yeye ndy anafanya kazi sana ana make millions kumbe nyuma pazia watu wana biashara zao 😄
Na yule kilichomponza ni ushamba kutaka kujionesha
Which huo ujinga hauwaishi waafrika ndomana mwisho wa siku huishia nyuma ya nondo
Ova
Jamaa hawataki wageni wengi Kwa sasa, nilimsikia hata Sheria zao Kwa wageni ni Kali zikiimbatana tangazo kuwa wageni wote wasio na karatasi hususani blacks waondoke mara Moja juzi tu hapaYap nenda Vietnam mkuu ubalozi upo Nairobi hapo sijajua kama wameweka maombi on-line kwa sasa..
Cambodia na Thailand wana bondana sana hawa Huwa wanagombania eneo kufyatuliana mizinga ni kugusa tu, wana derby Yao ya vita sio poaCambodia wanatengeneza mipira ya kuchezea na saa za kuvaa mkononi kwa hizo brand kubwa na ndogo hawa hatuna visa unaweza kushukia Thailand kufika Cambodia nakumbuka kama ilikua 90km tu kwa usafiri wa bus..
Ok sawa sawa endelea kusikiliza hayo matangazo nipo SA walikoandamana nafanya kazi mwaka huu wa kuleta bidhaa Jan naenda huko kuangalia baadhi ya bidhaa mambo ya uhamiaji inawahusu wakaaji sio wafanyabiashara hakuna Nchi inakataa mtu anaenda kununua bidhaa hata USA na utata wao ukihitaji bidhaa na una vigezo wanakupa VISA.Jamaa hawataki wageni wengi Kwa sasa, nilimsikia hata Sheria zao Kwa wageni ni Kali zikiimbatana tangazo kuwa wageni wote wasio na karatasi hususani blacks waondoke mara Moja juzi tu hapa
Kule zenji naona wako serious kuliko sehemu nyingine ukidakwa zenji, unafirisiwa Mzee, komba kila kituDawa za kulevya kwa Tanzania sasa hivi sio biashara. Kwanza ma informer ni wengi kuliko unavyofikiria. Aretas Lyimo amehakikisha katika kila wafanyabiashara watatu au wanne wa dawa za kulevya mmoja awe mnunuzi au muuzaji ni snich na utadakwa tu
Tena wengine wana jifanya wanunuzi wakubwa na anaweza kununua mzigo kiasi ili ujae kisha uishe(udakwe)
Miongoni mwa kesi ngumu kabisa Tanzania kwa sasa ni hizo za kusafirisha dawa za kulevya kuanzia mirungi, bangi, heroin, coceine na nyingine nyingi. Mtu anapokamatwa kwanza atachezea kichapo na mateso mengine yasiyosemeka
Kesi zake hazina dhamana na inaweza kuchukua miaka hadi saba kesi ndio ianze kusikilizwa na mara nyingi Jamhuri inashinda kwasababu kama vile kuna mkakati kwa vyombo vya dola kupambana na biashara hii. DCEA(Kitengo cha kupambana na dawa za kulevya), Mahakama Kuu na hata Mahakama ya Rufaa utadhani zinalengo moja kuhakikisha zinawafunga maisha wahusika
Tena afadhali kidoogo mirungi au bangi mtu anaweza angalau akatokea kwenye rufaa kuliko cocaine au heroine. Hawakuachi. Wengi wamefungwa kifungo cha maisha gerezani na kabda ya hapo hupitia mateso makali wakiwa mikononi mwa maafisa ya DCEA kabda ya kupelekwa mahakamani . Mateso hayo pamoja na vipigo vikali lakini pia wanafanyiwa udhalilishaji wa kingono.
Uzuri ni kwamba hao jamaa hawaonei watu kusema kwamba mtu alikua hajihusishi kwa namna yoyoye na hizo issue waje wamkamate! Hapana. Wote wanaokamatwa wanakua wamechunguzwa vizuuri kabisa na kwa muda wa kutosha
Inatokea saa zingine wakati wa interrogation wakatajiwa majina ya wahusika wengine. Hapo huchunguzwa then wanaweka mtego na wanawadaka kama ilivyokua kwa yule aliyekua kocha wa magolikipa wa Simba anaitwa Mwarami.
Yeye hakua anajulikana maana walikua wanamtafuta Cambiaso. Sasa kwenye interrogation ndio akatajwa. Kimykimya wakamuwekea mtego wakamnasa. Kesi yao mwaka wa tano sasa huu wapo mahabusu Keko hata robo haijafika na sasa inatakiwa ianze tena upyaa kabisa
Majina yote makubwa ya wafanyabiashara hiyo wameshafungwa vifungo virefu au kifungo cha maisha. Chonji wa Magomeni na wenzake wamefungwa maisha, yule Yanga Omar wa Tanga kafia gerezani akitumikia kifungo cha miaka 30, kuna jamaa anaitwa Horohoro kapigwa maisha, Abdul Nsembo na mkewe Shamim Mwasha(nao hawa enzi zao walikua kama jamaa wa Katoro) wanatumikia kifungo cha maisha na hata rufaa yao pia imeshindwa Mahakama ya Rufaa. Wameambiwa waendelee na kifungo cha maisha. Sasa iliyobaki waombe labda wapate msamaha wa Rais. Wapo wengi wa namna hiyo magerezani. Biashara unayoona hata Mchaga anaogopa kuifanya achana nayo na kimbia mbali kabisa.
Saivi Wanigeria ndio wanawadanganya sana dada zetu. Wanawapangia nyumba za thamani kisha pale wanafanya kama stoo ya dawa za kulevya huku wao wenyewe wakiwa hawakai hapo. Kinaponuka mwanamke ndio anashikwa na kidhibiti na Mpopo anasave. Sasa hivi mamlaka kama zimeshtuka. Wameshawawekea mkakati. Ushahidi mdoogo tu na Mpopo anachukua nyundo maisha.
Kwa ujumla Aretas Lyimo amesafisha kabisa mambo hizo na ndio maana hata mateja wamepungua sana ukilinganisha na miaka ile tisini na ya mwanzoni wa 2000 hadi 2017
Tanzania huwa mnabaki kutishana sana aisee daah..Cambodia na Thailand wana bondana sana hawa Huwa wanagombania eneo kufyatuliana mizinga ni kugusa tu, wana derby Yao ya vita sio poa
Ahaa mkuu nilimanisha vingine sikulenga kumtisha mtu, mkuu hao juzi tu hapa walikua vitani baada ya Mmoja kudai mwenzake kamrushia kombora mpaka nchi mbalimbali zinaingia kiwapatanisha siku Manisha Kuna vita ila nilipo wasikia tu hawa jamaa nikakumbuka majuzi tu hapa wametaka kupondana mpaka vikosi vilikua visha Anza kutumwaTanzania huwa mnabaki kutishana sana aisee daah..
Washamaliza toafuti zao mpaka upo wazi sasa hivi..
Kweli kaka hapo umenenaOk sawa sawa endelea kusikiliza hayo matangazo nipo SA walikoandamana nafanya kazi mwaka huu wa kuleta bidhaa Jan naenda huko kuangalia baadhi ya bidhaa mambo ya uhamiaji inawahusu wakaaji sio wafanyabiashara hakuna Nchi inakataa mtu anaenda kununua bidhaa hata USA na utata wao ukihitaji bidhaa na una vigezo wanakupa VISA.