Lamborgini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2024
- 954
- 1,617
Umenikumbusha kwenye series ya ozark,umafia mtupu
Kumbe ulisoma meta mm nlisoma sangu miaka 2 paleWametuharibia biashara ya magari madogo hao vima ndio maana tunaleta Scania maana huku kuna mambo mengi kidogo kwenye kununua lazima uyajue vizuri bila hivyo litazima Botswana.
Umewekeza kiasi gani ili upate 15B kwa mwaka..Kazi gani ambayo mtu anaweza kupata 15B per year
Nilimaliza meta nikapangiwa Kantalamba mzee akasema bora usome Sangu kombi si hizo hizo enzi za Mwalimu Mwakyulu na Mtaalamu Bukuku..Kumbe ulisoma meta mm nlisoma sangu miaka 2 pale
Ova
Hatari sanaUkiona biashara au deal wanakukamata nalo harafu Serikali haitaki kukuachia kwa dhamana na vitu walivyokukamata navyo sijui vikapimwe kwa Mkemia hiyo ni hatari..unaweza kukwepa kodi wazee kabaki na mali na wewe upo nje unapambana sio madawa,ndovu au kuvusha madini kwa magendo hizo deal kama hauna hela au roho mgumu usifanye na pia ukiwa na bahati mbaya hakimu anatoa hukumu iwe mfano kwa wengine sijui kama hicho kipengele kipo kwenye sheria.
Mda wowote inakuunguza vibaya sanaKiufupi hela yake ni ya moto
Ni mbaya ila ukitoboa sio mchezo, hata kama ni mtoto unapewa shikamoo ya nguvu.Hii biashara ni hatari yani ukikosea steps umekufa wewe.
Watu hawana huruma ukipoteza hata dollar 500 kupigwa chuma ni dakika Moja
Hii biashara ukijiingiza kutoka ni nguma sana once a mafia cartel always a mafia.
Ina risk sana vilevile ina pesa ya haraka sana huku impact yake kwa wale watumiaji ikiwa ni mbaya.
Mwakyulu,kabigi,mwakipile,ndimboNilimaliza meta nikapangiwa Kantalamba mzee akasema bora usome Sangu kombi si hizo hizo enzi za Mwalimu Mwakyulu na Mtaalamu Bukuku..
Sangu walikuwa wazuri kwenye accountsNilimaliza meta nikapangiwa Kantalamba mzee akasema bora usome Sangu kombi si hizo hizo enzi za Mwalimu Mwakyulu na Mtaalamu Bukuku..
true...Hahaha mostly hii biashara kwa ground inaendeshwa na viongozi wa kubwa wa serikali, wanajeshi,maaskari
Daah umenikumbusha mbali sana sema wewe ulikua mbele yangu mimi headmaster alikua Mwakyulu badae akaja Mr Bukuku na mwalimu Mmoja wa Geog Mwambene walikua poa sana kwetu enzi zenu za Soweto ni za kina Kambasonic nikaja kumkuta Cape huko Mobray..Mwakyulu,kabigi,mwakipile,ndimbo
Headmaster mwl makande rip
Sema sangu nlifukuzwa,ile adhabu soweto pale hapana nlipiga sana walimu nje ya shule,alafu nasoma hku napiga kazi bro wangu mmj tulikuwa tunafata supermilk Zimbabwe ikabd niletwe dar st Anthony kwa bro Masato, 4 nlimaliza kwa mbinde sana nashukuru nliscore vzr kiasi
Ova
kumekuchaUmeangalia movie za mexico sasa umekuja kutujaza
Makandi mpk msiba wake tuliupeleka tukuyu anko alikuwa anajuana naye sanaDaah umenikumbusha mbali sana sema wewe ulikua mbele yangu mimi headmaster alikua Mwakyulu badae akaja Mr Bukuku na mwalimu Mmoja wa Geog Mwambene walikua poa sana kwetu enzi zenu za Soweto ni za kina Kambasonic nikaja kumkuta Cape huko Mobray..
Hakuna swali hapo bila kuwekeza unataka 15 b aisee ndio maana nimekwambia una Tsh ngapi ili upate hiyo pesa..Jibu swali
Mwalimu Ndimbo nimemkuta alikua hana tabu na mtu.Makandi mpk msiba wake tuliupeleka tukuyu anko alikuwa anajuana naye sana
Na tulikuwa na Toyota dyna
Ndy ilimbeba
Soweto ilikuwa hakufai aise
Alafu alikuwepo mwl ndimbo dah
Ova
Mzee wa biologyMwalimu Ndimbo nimemkuta alikua hana tabu na mtu.