Katika dunia ya sasa, mheshimu sana yule anayefunga safari kuja kukutembelea "physically"

Kuna watu unawatembelea lakini wao hawaji kwenu Hilo pia tatizo. Raha ya kutembelea nawe utembelewe!
Cc mawardat and other 540 people
 
Dunia ya sasa mshukuru pia anaekuja kwenye sherehe yako uliyoiandaa.

Watu wana fatigue ya sherehe kiasi kwamba hawataki tena kwenye sherehe kwasababu hawajaona kitu kipya.

Wengi wanachanga halafu wanakausha kwenda.
 
You're absolutely right
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…