Rose Gabriella
JF-Expert Member
- Oct 17, 2020
- 603
- 584
Mama Samia anapeleka umeme kila kijiji mkoloni alishindwa.Mabeberu na mafisadi yameanza kumpigia Rais samia magoti. Tuliwaonya Samia hajaribiwi.
Mama Samia anapeleka umeme kila kijiji mkoloni alishindwa.Mabeberu na mafisadi yameanza kumpigia Rais samia magoti. Tuliwaonya Samia hajaribiwi.
Rais Samia analeta maendeleo kila kona ya Nchi. Hakika huyu mama ni zawadi ya Mungu kwa watanzania.Mama Samia anapeleka umeme kila kijiji mkoloni alishindwa.
nampata ana story sana,yuko peace...sana akiwa anafundisha communication .Mwalimu wangu huyu pale Arusha IAA. Ni mtu mmoja smart sana kichwani. Unamjua?
Yes jamaa yupo poa sana na mkewe pia ni mwalimu pale palenampata ana story sana,yuko peace...sana akiwa anafundisha communication .
yah mzee ni muhimu sana bado taifa lina muitaji....Yes jamaa yupo poa sana na mkewe pia ni mwalimu pale pale
Huyo ndiye Samia, anamwaga mapesa Wananchi tupate huduma bora.Rais Samia analeta maendeleo kila kona ya Nchi. Hakika huyu mama ni zawadi ya Mungu kwa watanzania.
Rais Samia anafanya vitu vikubwa sana ambavyo chadema na ACT ya Zitto kamwe wasingeweza kuvifanya.Huyo ndiye Samia, anamwaga mapesa Wananchi tupate huduma bora.
Rais Samia amefungua balozi mpya katika nchi 8 ikiwemo Israel, Mungu ambariki sana!Rais Samia anafanya vitu vikubwa sana ambavyo chadema na ACT ya Zitto kamwe wasingeweza kuvifanya.
Hata siku moja Rais Samia hapumzishwi wala kutishwa na wahuni wa mtandaoni.Rais Samia amefungua balozi mpya katika nchi 8 ikiwemo Israel, Mungu ambariki sana!
Kazi ya kutembelea watu makwao halafu kwangu hawaji siwezi mimi.
Hebu tuunganishe na hii hapa chini.
Wakati dunia ikiwa ndogo kulingana na teknolojia, kuna jambo linasahaulika katika jamii lipo hivi.
Mpo busy kama mtoa mada ulivyoandika hapo juu ila, wakati mnakuwa na utengano kutokana na ubize, kumbuka wewe na mkeo mna watoto wa jinsia zote mbili wanaokuwa.
Pia ndugu zako wanafamilia pia, wakati huohuo vijana kama wapo shule basi ni boarding ambako mnakutana kila baada ya miezi kadhaa.
Kwa kufupisha ubize unakuja kufanya hamuonani vijana wetu hawaonani, siku inakuja kutokea baba mdogo/mkubwa unakuja kutongoza mwanao au sababu kila mtu yupo bize, watoto ndugu huko huko shule wanatongozana kisa maisha magumu.
NB. Kuonana na kukutanisha ndg kuna umuhimu sana.
That's why Presdent Samia was declared the hero of Africa.Hata siku moja Rais Samia hapumzishwi wala kutishwa na wahuni wa mtandaoni.
Nitaamrisha watoto wangu kila moja aite mtoto wake mmoja jina Samia Hili jina limejaa uzalendo sana.That's why Presdent Samia was declared the hero of Africa.
Samia ndio jembe mchapa kazi bora na huyu mama nitampa kura yangu 2025.Nitaamrisha watoto wangu kila moja aite mtoto wake mmoja jina Samia Hili jina limejaa uzalendo sana.
CHADEMA Wajifunze siasa safi kama za Samia la sivyo wataishia kufa kisiasa.Samia ndio jembe mchapa kazi bora na huyu mama nitampa kura yangu 2025.
Kama Mzee wa Chadema anamkubali Rais Samia nyumbu wa ufipa wanabwabwaja ili iweje?CHADEMA Wajifunze siasa safi kama za Samia la sivyo wataishia kufa kisiasa.
Rais Samia anatoa funzo kubwa saaaana kwa CHADEMA.Kama Mzee wa Chadema anamkubali Rais Samia nyumbu wa ufipa wanabwabwaja ili iweje?