Katika dunia ya sasa, mheshimu sana yule anayefunga safari kuja kukutembelea "physically"

Samia amepeleka umeme kila kona ya Nchi. Pia, amepeleka barabara kila kona ya nchi hata kwa yale majimbo ya wapinzani.
Lissu hakuna kituo hata kimoja aliweza kuwa mbele ya Samia na JPM mwaka uchaguzi wa 2020. Kipigo alichopewa October 2020 kilimfanya awachukie Watanzania wote.
 
Rais Samia ni kipenzi cha Watanzania, huyo Lissu msaliti wa Nchi mrudisheni ubeligiji.
 
Cc.....
Kweli kutembelea mtu Ni kumthamini
 
Mimi binafsi nina desturi ya kuwatembelea.ndugu zangu japo baadhi yao hawafanyi kama ninavyofanya kuwatembelea

Na sijali kama nitakuwa naonekana kero kwao lakini mimi nitawatembelea tu

Maisha yenyewe haya
 
Una roho nzuri sana na upendo
 
Lissu Aliwatetea Mabeberu baada ya kuona maji yamezidi Unga yakaja kuomba radhi kwa Rais Samia.
Tanzania haipo kwenye orodha ya Nchi maskini Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati Naamini miaka mitano ijayo Rais Samia ataitupeleka uchumi wa juu.
 
madaraja,barabara, umeme nk yanarahisisha maisha kwa kupunguza gharama za usafiri Kwahiyo October mwaka jana 2020 tulimpigia kura Samia kwa 98% Rais Samia kipenzi cha Watanzania.
 
Rais Samia kipenzi cha Watanzania tumchagua kwa kishindo 2025.
 
Back
Top Bottom