Binti Abdullah
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 653
- 538
Usimfananishe Rais Samia na watu wa hovyo hovyo aisee. Huyu mama ni mchapakaziNi aibu kubwa kumpinga Rais Samia kwa uzalendo anaouonesha
Usimfananishe Rais Samia na watu wa hovyo hovyo aisee. Huyu mama ni mchapakaziNi aibu kubwa kumpinga Rais Samia kwa uzalendo anaouonesha
Samia tunataka maendeleo zaidi Rais wetu kipenzi. We love you mamaUsimfananishe Rais Samia na watu wa hovyo hovyo aisee. Huyu mama ni mchapakazi
Rais Samia amekomesha rushwa na ufisadi. Hakika huyu mama ni shujaa wa TanzaniaSamia tunataka maendeleo zaidi Rais wetu kipenzi. We love you mama
Watanzania hatutaki siasa chafu wajifunze siasa safi za Samia hao WapinzaniRais Samia amekomesha rushwa na ufisadi. Hakika huyu mama ni shujaa wa Tanzania
Thanks brother. Ila mimi pia ni mwanadamu na ikitokea siku nimekosea ninaomba mnisahihishe.Mkuu nimekuwa nikifuatilia mada zako kusema kweli wewe ni kichwa na mada zako ni konk sana
Mkuu mimi ni mzalendo kwa nchi yangu na sio mfuasi wa chama chochote cha siasa. Kwa sasa sipo CCM wala CHADEMA.bahati mbaya tu wewe ni muumini wa siasa za mwendazake.
Nyinyi kwanini hamkwenda kumtembelea?Ni makusudi tu mkuu kwa maana ndani ya miaka hiyo 9 ina maana alikuwa haendi hata kutembelea rafiki zake?...
Sisi tulienda almost 2 times
Ok, mi kuna ndugu yangu sijaenda kwake miaka 2 sasa nikienda ujue kuna dili maalumu,linalonilazimisha niende,na yeye kwangu hajawahi kuja kabisa, ana vipesa,hivyo anajisikia sana.Sisi tulienda almost 2 times
Watu wapo busy wanaitafuta shilingi mzee babaOk, mi kuna ndugu yangu sijaenda kwake miaka 2 sasa nikienda ujue kuna dili maalumu,linalonilazimisha niende,na yeye kwangu hajawahi kuja kabisa, ana vipesa,hivyo anajisikia sana.
Halafu maisha ya sasa upendo umepungua sana sio kama maisha ya zamani.
Saivi kila mtu anapambana na hali yake.kukutana msibani tu.sherehe zenyewe watu wa ignore.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahRais Samia amekomesha rushwa na ufisadi. Hakika huyu mama ni shujaa wa Tanzania
Haina noma soldier, zidi kutuelishisha mkuu.Thanks brother. Ila mimi pia ni mwanadamu na ikitokea siku nimekosea ninaomba mnisahihishe.
Kuna mada yako moja hvi yakuwahusia madogo wasome sana kwani kuna kesho na kesho kutwa mara paaaa nguzo zimeanguka, inaelimisha sna.Thanks brother. Ila mimi pia ni mwanadamu na ikitokea siku nimekosea ninaomba mnisahihishe.
Hahahahaaa yes ninaikumbuka ile mada tena niliiandika baada ya kusikia baba yake DC Jokate amekufaKuna mada yako moja hvi yakuwahusia madogo wasome sana kwani kuna kesho na kesho kutwa mara paaaa nguzo zimeanguka, inaelimisha sna.
Nitajitahidi kadri ya uwezo wangu mzee babaHaina noma soldier, zidi kutuelishisha mkuu.
Mkuu, mwambie Rais Samia kuwa Asante kwa bwawa la umeme la NyerereWatanzania hatutaki siasa chafu wajifunze siasa safi za Samia hao Wapinzani
Mama yetu Rais Samia ametoa pesa nyingi sana kwa ajili ya miradi mizuri ya maendeleo. Mungu mpe afya njema shujaa huyuMkuu, mwambie Rais Samia kuwa Asante kwa bwawa la umeme la Nyerere
[emoji107]Kuepuka kutongozeana wake na ku admire minyama nyama ya wake za watu. Kila mtu akae kwake. Tukutane neutral place Kama pub.
Mimi namaliza hata miaka mitatu sijaingia nyumba ya mtu. Misibani naishia kwenye hema, kwenye harusi tuonane kanisani au holini.
Sitaki umbea jumbani yangu na hata waif anajua. Akimualika rafiki yake namtizama huyo mgeni mwanzo mwisho mpaka atoke. Siku nyingine hamkaribishi.
Pole! Ukianza familia yako ujaribu kuwa karibu na ndugu, ukianza na uliyezaliwa naye na wa mwenza wako.Mimi tumezaliwa wawili kwetu ila tunakaa miezi mnne hatujapigiana simu, ila wote tuna wasiliana na mama, mama yangu kwao walizaliwa wanne wamebaki wawili nao pia hawawasiliani, mara ya mwisho kwenda kwa uncle na mama mkubwa ilikua 2001, huwa hatupigiani simu labda itokee kuna tukio kama msiba au harusi, cousins na nephews hakuna tunayewasiliana kama hamna tukio, baba yangu alifariki tukiwa wadogo so hatujawahi kuwa na ukaribu na upande huo, familia yetu kila mtu na marafiki zake unaweza kufa ikapita mwaka na ndugu wasijue, kwetu undugu hakuna na hatuna bifu tukikutana ni salamu na bia mbili tunaachana tutakutana baada ya miaka mingi, ikifika xmass huwa naumia natamani na sisi tungekua familia kubwa tukutane tusherekee ila ndio ishakua hivi, nakumbuka siku ya graduation yangu alikuja bimkubwa peke yake tulipotoka kwenye mahafari tukarudi nyumbani akanipa mpunga nikasherekee mtaani, nikaenda kwa mshikaji wangu nae alikua amegraduate nikakuta sherehe na ndugu wengi nilitamani sana
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app