Katika dunia ya sasa, mheshimu sana yule anayefunga safari kuja kukutembelea "physically"

Katika dunia ya sasa, mheshimu sana yule anayefunga safari kuja kukutembelea "physically"

Kweli mdau, waafrika hasa watanganyika tuna hii kasumba kuna watu wamejijengea wao ni wa kutembelewa tu, hii inatokea hasa mtu akiwa na uwezo wa kubadilisha mboga anajiona ni VIP yeye ni wa kutembelewa tu.
Sijui wanakuwaga busy saaaana au ni nini?
 
Kweli mdau, waafrika hasa watanganyika tuna hii kasumba kuna watu wamejijengea wao ni wa kutembelewa tu, hii inatokea hasa mtu akiwa na uwezo wa kubadilisha mboga anajiona ni VIP yeye ni wa kutembelewa tu. Hii kwangu sioni kama ni ujamaa yaani ni utwana zaidi ya ujamaa tunaohubiri!!
Kutembeleana "physically" ni suala jema sana kama muda upo kwa maana inaimarisha sana udugu na kuongeza upendo zaidi.
 
Kila nlipokuwa naenda kwa anko niliishia kupigwa vijembe na majungu yasokuwa na mpangilio. Mara ya mwisho kwenda kwake ni miaka 10 iliyopita na sina mpango wa kwenda labda patokee msiba maana siwezi kwenda kwenye sherehe isiyokuwa na pombe
 
Tangia nikiwa mdog hatujawah kuwa n destur ya kutembea ndugu
Ila kwet huw wanakuja,

Asimilia kubwa wanakipat kidogo Kam ss tu ,kwahy kpokea wagen wanaona Kama jau hivi.
 
Kama hakuna pombe unaenda tu mkuu kwa maana utakunywa soda na kujichanganya na wale ambao haukupata nafasi ya kuonana nao kwa kipindi kirefu...
 
Kama hakuna pombe unaenda tu mkuu kwa maana utakunywa soda na kujichanganya na wale ambao haukupata nafasi ya kuonana nao kwa kipindi kirefu...
Last time nimeenda palikua na msiba, nikawa najitahidi nisionekane mzembe yani kujituma piga kazi sana ila mwisho wa siku ikaonekana kwamba nimevuta bangi nyingi so zilikuwa zinanipelesha, ukizingatia pia nna asili ya macho mekundu alafu mara nyingi sio mwongeaji sana napenda kutulia sehemu moja kimya alaf peke yangu basi maneno yake yakapata nguvu....
Nikajifunza kuogopa nyumba za watu na nshazoea hii hali pia huwa napokea lawama nyingi sana kutoka kwa watu ila sijali wala nini
 
Tangia nikiwa mdog hatujawah kuwa n destur ya kutembea ndugu
Ila kwet huw wanakuja,

Asimilia kubwa wanakipat kidogo Kam ss tu ,kwahy kpokea wagen wanaona Kama jau hivi.
Mkuu, kwani mgeni anakuja kula kitu gani cha mamilioni zaidi ya maji na soda tu baaas?
 
Back
Top Bottom