Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Kwa nini swali liwe nani?Hiyo pumzi unayoivuta imeumbwa na nani kama sio Mungu?
Huoni kwamba swali lako linakuja na jibu lake?
Pumzi ingekuwa imeumbwa na Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, hakuna hata mtu mmoja angepata "changamoto ya kupumua".
Watu kupata "changamoto ya kupumua" ni ushahidi pumzi haijaumbwa na huyo Mungu.
Unaelewa hilo?