Katika dunia ya sasa, mheshimu sana yule anayefunga safari kuja kukutembelea "physically"

Katika dunia ya sasa, mheshimu sana yule anayefunga safari kuja kukutembelea "physically"

Katika kutembeleana naomba sana tupeane taarifa before.Mimi nathamin sana kutembelewa ila ukiingilia ratiba zangu kwakwel unakua hujanitendea haki.

Kwamfano kuna day ilikua j2 nimetoka kanisan saa 8 halaf saa 9 tuna tamasha ghafla napokea cm sista na madog pamoja na maza mkubwa wamefika kunitembelea home.
Aisee siku iliharibika vibaya sana maana mimi ndio mwenyekit wa kwaya halaf ndio mpiga vyombo/muziki so sitakiwi kosekana...halaf huku home wageni.SIKU ILIISHA VIBAYA SITAKI HATA KUKUMBUKA.kwa kifupi NILIHARIBU KOTE KOTE.

tupeane taarifa watembezi.
 
Kama familia ili kuepuka hii kutupiana mpira na kuonana kama umeenda kuomba msaada kwa ndugu yako anzisheni utaratibu wa kukutana kila mwisho wa mwezi kwa mmoja wa wanafamilia,mf;mwisho wa Jan unaenda kwa yule,Feb kwa yule Mar wanakuja kwako na kuendelea unakuwa ni utaratibu wa miaka yote.

Hii ukoo wetu tunaifanya inasaidia sana unakuta mwenye uwezo anaenda kwa aliye hohehahe na aliye hohehahe anaenda kwa mwenye uwezo shida mkiwa hamna umoja mimi maskini nikienda kwa tajiri anaanza kueleza shida zake as if nimeenda kuomba msaada kumbe sivyo.
Saaaawa mpendwa
 
Katika kutembeleana naomba sana tupeane taarifa before.Mimi nathamin sana kutembelewa ila ukiingilia ratiba zangu kwakwel unakua hujanitendea haki.

Kwamfano kuna day ilikua j2 nimetoka kanisan saa 8 halaf saa 9 tuna tamasha ghafla napokea cm sista na madog pamoja na maza mkubwa wamefika kunitembelea home.
Aisee siku iliharibika vibaya sana maana mimi ndio mwenyekit wa kwaya halaf ndio mpiga vyombo/muziki so sitakiwi kosekana...halaf huku home wageni.SIKU ILIISHA VIBAYA SITAKI HATA KUKUMBUKA.kwa kifupi NILIHARIBU KOTE KOTE.

tupeane taarifa watembezi.
Hawa wavamizi sasa na sio wageni
 
Mkuu uko sahii....Ila Kuna vitu lazima tuangalie pia kwa Yule unae mtembelea.kuna Yule ndugu mwenye Mali ukimtembelea anaona Kama umefata kitu.kuna Yule ndugu maisha duni ukimtembelea anaona mtihani maana hata hela ya kuku accommodate kwa lunch kwake Ni mtihani.pia maisha yame badilika tusikariri
Kwa wenye mawazo haya, hawana undugu.
 
Katika kutembeleana naomba sana tupeane taarifa before.Mimi nathamin sana kutembelewa ila ukiingilia ratiba zangu kwakwel unakua hujanitendea haki.

Kwamfano kuna day ilikua j2 nimetoka kanisan saa 8 halaf saa 9 tuna tamasha ghafla napokea cm sista na madog pamoja na maza mkubwa wamefika kunitembelea home.
Aisee siku iliharibika vibaya sana maana mimi ndio mwenyekit wa kwaya halaf ndio mpiga vyombo/muziki so sitakiwi kosekana...halaf huku home wageni.SIKU ILIISHA VIBAYA SITAKI HATA KUKUMBUKA.kwa kifupi NILIHARIBU KOTE KOTE.

tupeane taarifa watembezi.
Usingekuwepo nyumbani, ungeeleweka. Nafikiri hukutumia busara siku hiyo ndio maana ukaharibu kote.
 
Kuepuka kutongozeana wake na ku admire minyama nyama ya wake za watu. Kila mtu akae kwake. Tukutane neutral place Kama pub.
Mimi namaliza hata miaka mitatu sijaingia nyumba ya mtu. Misibani naishia kwenye hema, kwenye harusi tuonane kanisani au holini.
Sitaki umbea jumbani yangu na hata waif anajua. Akimualika rafiki yake namtizama huyo mgeni mwanzo mwisho mpaka atoke. Siku nyingine hamkaribishi.
Mmh huyo mke amekua vending machine, ukiingiza pesa tu unapata bidhaa!
 
Usingekuwepo nyumbani, ungeeleweka. Nafikiri hukutumia busara siku hiyo ndio maana ukaharibu kote.
Ni kwel mkuu.Nilikua home na ndio nikabugi kuamua wapi niwepo na wapi nipige chini.lakin kote nililazimika kuwepo.
 
Mmh huyo mke amekua vending machine, ukiingiza pesa tu unapata bidhaa!
Mwanamke/mtu mzima huwa halindwi bali anapaswa kujilinda mwenyewe. Sasa kama anamlinda mkewe dhidi ya wageni wanaokuja nyumbani, vp kuhusu huko ofisini au akienda dukani?
 
Aamuwe kumuweka mkewe lockdown nyumbani 😂
😂😂😂😂😂 tena unaweza kukuta mwanaume wa namna hiyo mwenye wivu sana na mkewe ndiye anapenda sana kuchombeza wake za watu wengine. Hii dunia hii kweli kanyaga polepole
 
Kazi ya kutembelea watu makwao halafu kwangu hawaji siwezi mimi.
Kweli mdau, waafrika hasa watanganyika tuna hii kasumba kuna watu wamejijengea wao ni wa kutembelewa tu, hii inatokea hasa mtu akiwa na uwezo wa kubadilisha mboga anajiona ni VIP yeye ni wa kutembelewa tu. Hii kwangu sioni kama ni ujamaa yaani ni utwana zaidi ya ujamaa tunaohubiri!!
 
Back
Top Bottom