Kufa kupo pale pale, la muhimu ni legacy gani umeacha.Hii itukumbushe kuwa hii Dunia tunapita, na itusaidie kupunguza kama sio kuacha kabisa kiburi na kujipa umuhimu...
Hii itukumbushe kuwa hii Dunia tunapita, na itusaidie kupunguza kama sio kuacha kabisa kiburi na kujipa umuhimu...
KivipIla tuacheni utani.
Mie mwenzenu naogopa sana kufa.
Ukiambiwa 'ninyi nyote ni muhimu' maana yake umeitwa, umepewa hiyo hadhi hujajipa.... wala kinyume chake sio kujidharau.Kujipa umuhimu?
Sometimes kila kitu ni tafsiri...
Mwingine anaweza sema msijiweke nyuma ..tokeni mbele mlete mawazo yenu...nyinyi nyote ni muhimu..msijidharau....