Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Dah!Ka
Kaburini wala hakuna mateso, unaliwa na wadudu siku mbili tu umeisha.
Basi tunapotoshwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!Ka
Kaburini wala hakuna mateso, unaliwa na wadudu siku mbili tu umeisha.
Yap! Tunaweza hitimisha hivo mkuu.Sasa twaweza hitimisha pamoja kwamba itakuwa hivyo baada ya mauti?.
Unajua joto la kaburini wewe 😂😂😂😂Kaburini wala hakuna mateso, unaliwa na wadudu siku mbili tu umeisha.
Sasa mzoga unasikia joto gani?Unajua joto la kaburini wewe 😂😂😂😂
Naam, na huko usipopajuwa wala huwezi kusema nilikuwa naumia, ohooo, mara mara li tan 7 la mchana limenigandamiza!, nani kasemaa?......yapo mengi ya kutafakari lkn niseme tu kuwa kufariki kupooooo na ni hakika na hakuumi. USIOGOPE.Yap! Tunaweza hitimisha hivo mkuu.
Kwamba, sikujua nilikuwa wapi kabla ya kuzaliwa, ndivyo vivyo hivyo ambapo nitakuwa sijui wapi nitakapokuwa pale tu nitakapofariki.
🤝🤝🤝
Hao silent masses ndo madini na mafuta ardhini. Tusubiri tu zamu yetu nasi tubadilike madini na mafuta kwa vizazi vingi vijavyo.Hii itukumbushe kuwa hii Dunia tunapita, na itusaidie kupunguza kama sio kuacha kabisa kiburi na kujipa umuhimu.
Waliowahi kuishi na kuondoka ni wengi zaidi ya waliopo leo, na kila mmoja kwa wakati wake alikuwa na umuhimu wake.
Hivyo nafasi ya wewe kuishi leo isikufanye ufikiri kuwa ni ya kipekee sana, utaondoka siku moja na watakuja wengine. Maisha yataendelea vizuri tu bila uwepo wako.
Hii nimekumbushwa na huyu kijana wangu mkubwa, nami nikaona niwakumbushe.
Ncha Kali.
Mmm sidhani,mana kwa hakika population iliyopo sasa nadhani nikuanzia mwaka 1900 hakuna chini ya hapo,na kama wapo ni wachache sana.So ni possible na zaidi ya 110 billionSio kweli population ya hai na waliokufa inabalance yenyewe so itakuwa around 10 billion au below 8 billion waliokufa na sio b 110
Ushawah kuwa mzoga 😂😂😂😂Sasa mzoga unasikia joto gani?
Ukifa bila ndoa hauwi na mafuta mengi, rejea uarabuni kwenye ndoa za wake wengi kunayo mafuta tele.Hao silent masses ndo madini na mafuta ardhini. Tusubiri tu zamu yetu nasi tubadilike madini na mafuta kwa vizazi vingi vijavyo.
Cha muhimu ni kukataa ndoa.
Sijawahi, siku moja kwa uhakika nitakuwa mzoga na kuliwa na wadudu.Ushawah kuwa mzoga 😂😂😂😂
Shukrani sana kwa kunitoa uoga mkuuNaam, na huko usipopajuwa wala huwezi kusema nilikuwa naumia, ohooo, mara mara li tan 7 la mchana limenigandamiza!, nani kasemaa?......yapo mengi ya kutafakari lkn niseme tu kuwa kufariki kupooooo na ni hakika na hakuumi. USIOGOPE.
Nani kakwambia mzoga hausikii joto ,hivi hampati tafakuri yakua kinacho oza ni mwili tu. Au mana ya kufa nini ??? Hebu fikilia ukiwa usingizini unaota nini hukutokea kinakua nini hicho je unakua wapi hapo unapopata njozi , mtu wakweli ni nafsi Wala sio mwili the inner you ,not the outer you. Sasa kitakachopata hayo yote ni ile nafsi mana mwili utakua umeisha oza nakuisha ila nafsi yako inakuepo fatilia vizuriSasa mzoga unasikia joto gani?
Kawaida tu usijali babeShukrani sana kwa kunitoa uoga mkuu
Ubarikiwe
Aisee!Nani kakwambia mzoga hausikii joto ,hivi hampati tafakuri yakua kinacho oza ni mwili tu. Au mana ya kufa nini ??? Hebu fikilia ukiwa usingizini unaota nini hukutokea kinakua nini hicho je unakua wapi hapo unapopata njozi , mtu wakweli ni nafsi Wala sio mwili the inner you ,not the outer you. Sasa kitakachopata hayo yote ni ile nafsi mana mwili utakua umeisha oza nakuisha ila nafsi yako inakuepo fatilia vizuri
💘💝💖Kawaida tu usijali babe