Katika Dunia yenye takribani watu Bilioni 8 leo, zaidi ya watu Bilioni 110 wamewahi kuishi na kufa

Bagoshaa 😊

Nilipo pata ajari nimekua na mitazamo tofauti..

Hapa ndio najifunza kutembea Tena na kusimama Tena kwa miguu miwili....

Gosh! Nimebadilika Sana mitazamo aisee sikuwai jua one day ntalala kwenye hospital bed πŸ›οΈ nikisukumwa sijiwezi chochote

Now nimerecovery na naendelea kurecovery day after day still natembelea crutches

All in all,
Mwenyezi Mungu atupe mwisho MWEMA
 
Pole sana mkuu.
 
Kwani usipojipa umuhimu ndio haufi? Mimi ntajipa umuhimu kama kawaida ikitokea nimekufa ndio ishatokea siwezi nikajiweka nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…