Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Roman Empire ilikuwa na nguvu sana ndio maana mpaka
leo inaendelea kutawala dunia.
leo inaendelea kutawala dunia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio British kwenye lugha na utawala dunia imeweze kufuata.British ni global kweli maana effect yake hadi Sasa inaendelea kusumbua.
Sijaona German empire au ndio inawekwa kwenye ottoman empire!?
Ngojea wavaa kobazi waje wazungumzie ilim duniaMsikiti wa kwa Shehe tumbo tunakuja na tamko hivi punde.
Roman Empire ilikuwa na nguvu sana ndio maana mpaka
leo inaendelea kutawala dunia.View attachment 3163791
Roma imetoboa kweli kweliNdio ushangae kuna wamatumbi mpaka leo wanajiita wa roma
Roma wameacha effect ya ubinafsi 🙌🙌Ndio British kwenye lugha na utawala dunia imeweze kufuata.
Fafanua vizuri kiongoziNdio empire pekee ambayo haijapindiliwa. Badala yake, ndio empire pekee iliyogawanyika. Jitihada zote za kuiunganisha zinagonga mwamba
Ki vipi mkuu? Hakuna positive effect iliyoacha?Roma wameacha effect ya ubinafsi 🙌🙌
bila kusahau msikiti wa sheikh mutallahb watapingaMsikiti wa kwa Shehe tumbo tunakuja na tamko hivi punde.
Jesuits wapo vizuri ina wasomi wakutosha. Mtakatifu Inyasi apumzike kwa Amani.Sahihi kabisa, Roman Empire bado inatawala na mipango yao au think tank ni upande wa Black pope (Jesuits).
Umeishawahi fanya kazi na mkatoriki ya maslahi!?Ki vipi mkuu? Hakuna positive effect iliyoacha?
Ni lazima Trump aripoti pale na hata serikali yake amechagua Wakatoliki wengi kwenyeAngalia kanisa Katoliki, Vatican ni kila kitu, Trump ataenda kupasalimia ndipo aanza kazi.
Jesuits sio watu wazuri hata kidogo, nilifahamu mambo yao mengi kupitia hicho kitabu, hawa sio watu wa kawaida ni zaidi ya psychopathJesuits wapo vizuri ina wasomi wakutosha. Mtakatifu Inyasi apumzike kwa Amani.
Ndio ni wazuri sana mbona hata Raisi wa kwanza wa Taifa hili alikuwa Mkatoliki. Na sasa niUmeishawahi fanya kazi na mkatoriki ya maslahi!?
🙌🙌🙌Usiombe uwe na kiongozi mroma
Amekiandika nani isiwe ni Wasabato wameandika. ?Jesuits sio watu wazuri hata kidogo, nilifahamu mambo yao mengi kupitia hicho kitabu, hawa sio watu wa kawaida ni zaidi ya psychopath
View attachment 3163807View attachment 3163808
Hapana Kila wakiongoza huwa Kuna ukata sanaNdio ni wazuri sana mbona hata Raisi wa kwanza wa Taifa hili alikuwa Mkatoliki. Na sasa ni
Mwenyeheri soon atakuwa canonised kuwa Mtakatifu Julius K. Nyerere.